Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Sijui kwa Nini Nyerere hospitali ya machizi aliweka Dodoma na hapo hapo pakawa na bunge na ikulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na uzushi wa hao wapuuziKituo cha afya kimekua horror place....
Ni Tanzania hii hii yanii
Nyie wa kitelewasi mpo ok, namzungumzia huyu jamaa wa kilabu cha sambuliti pale mlandegeWaaaapi; Huku kilabuni tunajinywea Ulanzi na esp. hapa Kitelewasi tunakula nyapula hatunaga hizo stori zisizo na mbele wala nyuma.
Hii ni imani potofu kama zile za wanyonya damu. Mambo ya kizamani sana haya. Mkiambiwa muweke majina ya waliowahi kupotea, ndugu zao na anuani za makazi yao mnawajua?Hii hospitali ipo Iringa-Karibu na Shule Ya TOSAMAGANGA kata ya Kalenga imekua na matukio mengi kama hujashuhudia basi kusimuliwa na yaliowahi wakuta. Usiku Anakuja Muhudumu anakuita mtoke nje au unapigiwa simu uende umepelekee mgonjwa chakula ukitoka kwenda jikoni umekwisha.
Ukikataa kwenda ndio pona yako na kesho ukienda ukimuuliza mgonjwa wako kama alikua anahitaji msaada wowote anakujibu hapana.
Swali: Je Hili tatizo serikali inalijua au Ndio serikali yenyewe ndio inafanya au ndio Organ trafficing?
Sababu kuna tetesi za kuwepo kwa handaki ambapo watu hutekwa kwenda kuchukuliwa viungo mbali mbali kwa matumizi mbali mbali ya kimatibabu.
Kuna Mgonjwa alienda pale na Mke kujifungua, Mama Mkwe, Mama ake Na Mke wote wakapotea Kila muhudumu akiulizwa ushirikiano zero jamaa aliacha mbwa wake na gari pale nje akaondoka mbwa hali wala hanywi kalala uvunguni mwa gari Mzungu kajipendekeza kusogeza gari pembeni akafa na kila baada ya muda wahudumu wakawa wanakufa kila aliyehusika na tukio baada ya kuwamaliza jamaa alirudi kuchukua mbwa na gari lake.
Washikaji zangu walienda kumuuguza mama yao Walikimbizwa usiku speed yao ndio iliwaokoa.
Je, matukio kama haya nani anahusika au ndo biashara za Vigogo?
Mimi nimefundisha Tosa na nimeuguza wagonjwa wengi pale na tuna connection ya waliofanya kazi Ipamba Tanesco lakini hatujawahi kupata taarifa hiiMimi nimesoma hapo Tosa miaka hiyoo kitambo sijasikia hii kitu.
Zitto Kabwe na wengine wengi wamesoma hapo sijawasikia wakilalamikia hizi habari.
Labda ni matukio ya miaka ya karibuni.
Na mm nimeongea kwa kubeza tuu mkuu..ni upupu huo ameongea..Achana na uzushi wa hao wapuuzi
Nyerere hakuiweka hospitali Dodoma.Sijui kwa Nini Nyerere hospitali ya machizi aliweka Dodoma na hapo hapo pakawa na bunge na ikulu
Hizi habari hazipo mashuleni, bali zipo mtaani hasa kwa watu wazima. Mata nyingi mtu anapoenda kuuguza mgonjwa wake kule hupewa tahadhari na wanaofahamu.Nimesoma Tosamaganga 2009-2011 sijawahi sikia ilo swala
Mbona Polisi wanataka kuonewa mkuu?Hakuna polisi hapo jirani ?
hadithi njoo uongo njoo utamu koleaHii hospitali ipo Iringa-Karibu na Shule Ya TOSAMAGANGA kata ya Kalenga imekua na matukio mengi kama hujashuhudia basi kusimuliwa na yaliowahi wakuta. Usiku Anakuja Muhudumu anakuita mtoke nje au unapigiwa simu uende umepelekee mgonjwa chakula ukitoka kwenda jikoni umekwisha.
Ukikataa kwenda ndio pona yako na kesho ukienda ukimuuliza mgonjwa wako kama alikua anahitaji msaada wowote anakujibu hapana.
Swali: Je Hili tatizo serikali inalijua au Ndio serikali yenyewe ndio inafanya au ndio Organ trafficing?
Sababu kuna tetesi za kuwepo kwa handaki ambapo watu hutekwa kwenda kuchukuliwa viungo mbali mbali kwa matumizi mbali mbali ya kimatibabu.
Kuna Mgonjwa alienda pale na Mke kujifungua, Mama Mkwe, Mama ake Na Mke wote wakapotea Kila muhudumu akiulizwa ushirikiano zero jamaa aliacha mbwa wake na gari pale nje akaondoka mbwa hali wala hanywi kalala uvunguni mwa gari Mzungu kajipendekeza kusogeza gari pembeni akafa na kila baada ya muda wahudumu wakawa wanakufa kila aliyehusika na tukio baada ya kuwamaliza jamaa alirudi kuchukua mbwa na gari lake.
Washikaji zangu walienda kumuuguza mama yao Walikimbizwa usiku speed yao ndio iliwaokoa.
Je, matukio kama haya nani anahusika au ndo biashara za Vigogo?
sio hadithi hizo mambo zipo badohadithi njoo uongo njoo utamu kolea