Tetesi: Hospitali ya Ipamba wagonjwa na wauguzi hupotea tu

Nimeisoma mara mbili bado sijaelewa.
Wageni wanaokwenda pale wanakufa. Wahudumu pia wanakufa.
Sasa,lawama( zako) zinaelekezwa kwa nani?
 
Nishawahi sikia hizo story ila za zamani sana kipindi cha wanyonya damu.
 
Nimesoma tosamaganga 6 yrs na nilikuwa naenda Sana ipamba kwa kuwa ndo hosptl wanayotibiwa wanafunzi pua... Sijawah sikia hii kitu.. Ndo Naona hapa...
 
We jamaa muongo sana, umedhamiria kuichafua Hospitali na Mkoa mzima. Niliwahi kulazwa pale na kamwe sijawahi kusikia na wala hakuna tukio lililotokea kipindi chose nilichokuwa pale. You need to do research before publishing such a thing. Hospital ya Ipamba imepanda hadhi na kuwa Referral Hospital, inatibu kwa mionzi wagonjwa wa cancer. Tuheshimu biashara na huduma za mashirika ya dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…