Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

Nan alikuambia intern ni mwanafunzi
 
Unataka upewe majibu ili uyafanyie nn majibu ni kwa ajili ya wahudumu wajue shida wamsaidie mgonjwa ww kujua majibu ni umbea tu
 
Kwamba ukienda pale Kifo Mkononi, Mimi sio Mloganzila tu hospital yoyote nikienda nikiona Dokta na Manesi hawanipetipeti najua hapa Muda wowote nakufa Hawa wataishia kuniangalia tu hivi mwisho wanifunike lile shuka la blue au Jeupe
Sasa nikupe siri ukiona unapetiwa ujue hiyo ni palliative care wanakuwaga ukipona mshukuru sana MUNGU
 
Sjafika hospital ya serikali Kwa Zaid ya miaka 20 .

Natibiwa Agha khan Zaid.

Hawa jamaa ni Bora sana
Agha Khan wanatibu wateja siku ukiwa mgonjwa watakupa rufaa utakuja ya serikali muhimbili
 
Nitajie hospital ambayo ukienda hatutakutana na wanafunzi
 
Kwamba mgonjwa wako alipelekwa huko uanze kujiandaa kisaikolojia
 
Ila Mliloganzila kama ni Majengo ni nzuri jamani....

Sidhani kama kuna Hospitali Binafsi au Serikali Nchini inafikia ule Ubora....
 
Daah ila kuna malalamiko kuwa malaika mtoa roho kaweka kambi pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…