Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

nilipeleka mgonjwa Ijumaa, wanafunzi wa intern ndiyo walikuwa wanampa huduma ya kwanza
kuwauliza doctor(ambaye si mwanafunzi) yuko wapi wakajibu atakuja JumaNne
Jumamosi jioni mgonjwa anafariki

hakuna matibabu pale, kinachotolewa na wale interns ni huduma ya kwanza tu
Nan alikuambia intern ni mwanafunzi
 
Mimi hospital yangu ni kcmc tu basi hizo zingine mnajuwa wenyewe. Kcmc Wana kubembeleza wanakupetipeti Hadi unatamani uongezwe siku za kulazwa😌😌

Bugando Hadi Dr aje kukuona asee umepamban mnoo wengi Huwa wanakimbia tu

×ray kupewa majibu unaweza sota wiki sio ajabu

Sasa Hivi hata kama na umwa UTI tu huyoo kcmc
Unataka upewe majibu ili uyafanyie nn majibu ni kwa ajili ya wahudumu wajue shida wamsaidie mgonjwa ww kujua majibu ni umbea tu
 
Kwamba ukienda pale Kifo Mkononi, Mimi sio Mloganzila tu hospital yoyote nikienda nikiona Dokta na Manesi hawanipetipeti najua hapa Muda wowote nakufa Hawa wataishia kuniangalia tu hivi mwisho wanifunike lile shuka la blue au Jeupe
Sasa nikupe siri ukiona unapetiwa ujue hiyo ni palliative care wanakuwaga ukipona mshukuru sana MUNGU
 
Sjafika hospital ya serikali Kwa Zaid ya miaka 20 .

Natibiwa Agha khan Zaid.

Hawa jamaa ni Bora sana
Agha Khan wanatibu wateja siku ukiwa mgonjwa watakupa rufaa utakuja ya serikali muhimbili
 
Wanapelekwa hapo wakiamini watakutana na mabingwa kumbe ni tofauti wanaenda kukutana na wanafunzi ambao wapo lab kwa hio ikifika mtu IPO dhofurihali wanaiona km Maiti fulani hivi imefika kwenye mafriji ya mochwari kiufupi wale wanafunzi wamekula Mafunzo ya kukaa mochwari zaidi kuliko kuokoa Uhai wa watu
Nitajie hospital ambayo ukienda hatutakutana na wanafunzi
 
Kwamba mgonjwa wako alipelekwa huko uanze kujiandaa kisaikolojia
 
Ila Mliloganzila kama ni Majengo ni nzuri jamani....

Sidhani kama kuna Hospitali Binafsi au Serikali Nchini inafikia ule Ubora....
 
Daah ila kuna malalamiko kuwa malaika mtoa roho kaweka kambi pale.
 
Back
Top Bottom