TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
-
- #41
Pole sana mkuu for such an experience!Baadhi ya ma Dr wetu wana mambo ya hovyo ya kukosea alafu wanajifanya wao ndio wajuaji hawaulizwi!
Nina cases kadhaa wametusababishia usumbufu hadi kupeleka wagonjwa nje ya nchi, mpaka unaulizwa aliyefanya hii procedure ni mtu qualified? Unakaa kimya tu kulinda uzalendo!
Why?Kama hii imefika bongo hakika tumekwisha.
Huipendi sura na sauti yako ya sasa?Watanipata kwenye facelift, nataka nibadilike kabisaaaaa hadi sauti dadeki
Hapana, na nyie muende mfanyiwe 'facelift', mtolewe makunyanzi hayo.Sisi ambao jua limeshakuchwa tutakuwa watazamaji tu. Teh.
Utalii wa tiba 🤣🤣🤣Ni kweli mkuu. Nadhani sasa kupitia huduma hii watu kutoka nje (eg Uganda, Rwanda) watakua wanakuja bongo kufanyiwa, hii inaitwa Medical Tourism.
Kwa ajili ya nani sasa wakati mie ndio mume wake au sio DemiHahahaha!! Hapunguzi kwa ajili yako.
Nataka niwe mtu mwingine kabisa halafu nikaishi sehemu mpya nianze kila kitu kipya,Huipendi sura na sauti yako ya sasa?
Hapana niliyaona tu kwenye nguo, anyway hebu nitumie kapicha ka live nione kwa ushauri zaidiUmewahi kuyaona live? Ile live yaani😜
Uje nikuonyeshe😂Hapana niliyaona tu kwenye nguo, anyway hebu nitumie kapicha ka live nione kwa ushauri zaidi
Watatusaidia sana sie wenye vibamiahuduma ya kuongeza mashine za kupump visima iwekwe nayo iwekwe kuna mabwawa mengi mtaani
Nitakuja kuyanyonya kwa gharama yoyote ileNitaongeza manyonyo
Anza na gharama za surgery sasa ili mambo yawe mepesi my wanguNitakuja kuyanyonya kwa gharama yoyote ile
Ngoja yakupasukie mdomoni🤣🤣🤣🤣Nitakuja kuyanyonya kwa gharama yoyote ile
Hahahahahahaaa kama naona vile ile silicone itakavyomwagikaNgoja yakupasukie mdomoni🤣🤣🤣🤣
Nikifanya hivyo basi kila atakaeyagusa inabidi alipieAnza na gharama za surgery sasa ili mambo yawe mepesi my wangu