Hospitali ya Muhimbili Mloganzila yaanzisha huduma ya plastic surgery ikiwa ni pamoja na kuongeza matiti, makalio, nk

Hospitali ya Muhimbili Mloganzila yaanzisha huduma ya plastic surgery ikiwa ni pamoja na kuongeza matiti, makalio, nk

Baadhi ya ma Dr wetu wana mambo ya hovyo ya kukosea alafu wanajifanya wao ndio wajuaji hawaulizwi!

Nina cases kadhaa wametusababishia usumbufu hadi kupeleka wagonjwa nje ya nchi, mpaka unaulizwa aliyefanya hii procedure ni mtu qualified? Unakaa kimya tu kulinda uzalendo!
Pole sana mkuu for such an experience!
 
Back
Top Bottom