TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
- #41
Pole sana mkuu for such an experience!Baadhi ya ma Dr wetu wana mambo ya hovyo ya kukosea alafu wanajifanya wao ndio wajuaji hawaulizwi!
Nina cases kadhaa wametusababishia usumbufu hadi kupeleka wagonjwa nje ya nchi, mpaka unaulizwa aliyefanya hii procedure ni mtu qualified? Unakaa kimya tu kulinda uzalendo!