Utasema ulichiandika kina ukweli vile? Futa hii futuhi yako!!Acheni Fantasy ni Hospital ya kawaida sana na haina facility nyingi wala wataalam
Kwa viongozi kulazwa hapo ni kama first aid tu na temporary recove...
Sio kweli kipi hapoSiyo kweli
Wamejaza uongo sana kwa fomuMzena ipo jirani na Kariuki lakini naona the nearest ni TMJ, je Kuna connection?
Lugalo viongozi hawatibiwi pale labda kuhifadhiwa tu wakikata upepoMbona Lugalo tunatibiwa
Ndo legacy ya kitengo kwamba uongo ndo utakatifu wa mwenendo....Wamejaza uongo sana kwa fomu
Hawakuweka mambo.ya mortuary ili kuondoa msongamano ambao hawatakiwiHalafu Wakifa Mortuary wanapelekwa Lugalo
Mzena hakuna Hospital hapo, kuna Dispensary tu
RaisHigh ranks officers ukiwa na maana gani?
NHIF kwa kitita kipya au cha zamani mkuu? [emoji12]Sijisikii vizuri Wakuu, kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni mwongozo wa kuingia hapo hospitali ya Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
Give us the truth...Lies
Nineshawahi kutibiwa Lugala mbona?
wanapokea but hiyo ni hospitali maalumu ya watu wa systemSijisikii vizuri Wakuu, kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni mwongozo wa kuingia hapo hospitali ya Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
Ulishawahi kufika?Sijisikii vizuri Wakuu, kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni mwongozo wa kuingia hapo hospitali ya Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
Nyuma ya kairuki ila kuingia afike getini pale mbele ya makaburi ya wahindi aulizeKati ya Makumbusho na Victoria
Hiyo hospital kifupi iko kambini kwao. Achague aingilie geti la nyuma kwa kairuki ingawa halitumiki au apite lile kubwa juuNdo legacy ya kitengo kwamba uongo ndo utakatifu wa mwenendo....
Hawana mbingu wale 😂
Na wala sio jengo kuuubwa ni jengo la kawaida tuwanapokea but hiyo ni hospitali maalumu ya watu wa system
Wengi wakiingia kwenye hiyo hospital wakitoka “ marehemu “!Mpaka umalize kujibu maswali ushazidiwa na ugonjwa wenyewe