Hospitali ya Mzena wanapokea bima ya NHIF?

Hospitali ya Mzena wanapokea bima ya NHIF?

Halafu Wakifa Mortuary wanapelekwa Lugalo
Mzena hakuna Hospital hapo, kuna Dispensary tu
Hawakuweka mambo.ya mortuary ili kuondoa msongamano ambao hawatakiwi

Ni eneo nyeti

Mbali na hospital pia kuna ofisi na shughur zao zinaendelea pia

Ukikata upepo fasta unakimbizwa lugalo

Mazingira ya pale yamewezeshwa hivyo
 
Back
Top Bottom