Tetesi: Hospitali ya Seliani Arusha inayomilikiwa na Kanisa yazuia mwili wa Marehemu wakidai walipwe fedha za matibabu cash

We ndo mala ya kwanza kuona maiti imezuliwa? Nenda muhimbili kaulizie. Vitaarifa vya kichonganishi sana eti inamilikiwa na kanisa.
Hiyo hospitali haisemwi vizuri linapokuja suala za bili za marehemu.

Nimeshashuhudia msiba mpaka watu wakawa wanashangaa sana kuhusu bili alizoacha marehemu kwa siku kama nne tu nafikiri alizokaa hapo ambapo alifika mwenyewe akiwa anaendesha gari akawa anajisikia vibaya akaenda kupima hapo.

Akaambiwa inabidi awekewe sijui oxgyen, mara ICU mara kafariki.

Bili sasa ndo ilishtua watu kwamba kijana wa miaka 30's mmepima nn na kutoa huduma gani kutoa bili kubwa hivyo ndani ya muda mfupi?
 
ni wakati gani unaiamini na kuihitaji serikali ms Kamugisha?

Je rules za private sector unazijua?
 
Mlipe deni mlichagua kwenda hospital binafsi mkiamini huduma ni bora sasa kwa nini hamtaki lipia huduma iyo.

Serikali yetu inakosa vipaumbelee sana. Swala la bima ya afya walipigia debe kisa kampenj za urais ila sahivi kila mmoja kimya. Pesa ya mkopo wa imf wangeweza kuweka kwenye afya inge boost sana ila ndio ccm hao.
 
Kwani walilazimishwa kumpeleka huko private, bado sielewi msingi wa hizi lawama. Hizo gharama mnataka nani azilipie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…