JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Hiyo hospitali haisemwi vizuri linapokuja suala za bili za marehemu.We ndo mala ya kwanza kuona maiti imezuliwa? Nenda muhimbili kaulizie. Vitaarifa vya kichonganishi sana eti inamilikiwa na kanisa.
Nimeshashuhudia msiba mpaka watu wakawa wanashangaa sana kuhusu bili alizoacha marehemu kwa siku kama nne tu nafikiri alizokaa hapo ambapo alifika mwenyewe akiwa anaendesha gari akawa anajisikia vibaya akaenda kupima hapo.
Akaambiwa inabidi awekewe sijui oxgyen, mara ICU mara kafariki.
Bili sasa ndo ilishtua watu kwamba kijana wa miaka 30's mmepima nn na kutoa huduma gani kutoa bili kubwa hivyo ndani ya muda mfupi?