Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heads need to roll, period! Kama wahusika ni wafanyakazi wa spitali.
Na sijui utaratibu ni upi, ila simu na other electronic recording devices lazima zipigwe marufuku kwenye sehemu kama hizo.
Totally unacceptable.
HakikaBinafsi sijaiona wala siitafuti kuiona...
Sometimes Mleta Umbea na Msikiliza Umbea wote ni walewale
kwamba tuache tu uchafu huu uendelee siyo ?
Hapa ndipo tukapojua uimara wa TCRA kama siyo maigizoHao watakuwa ni wale wapuuzi wanaojidai kuwa na vifaa vya kisasa vya kurekodi pasipo kujulikana na wakilenga kutafuta sifa za kijinga....
Ingekuwa huko kwenu kuna mtu angejiuzulu kwa kashfa hii.
Lakini sishangai hata wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa hayati Magufuli kuna mtu alipiga picha na walinzi wako pale pale kisha akaisambaza mitandaoni!
Ana ushujaa gani huyo takataka?Huyu Mange amelelewa na wana jf wenyewe na wengine wanao jiita wana harakati hasa wanachadema na amekuwa akishangiliwa sana na amedharirisha watu wengi sana sana na wengi walikuwa wanamuona shujaa na wakitaka aendelee kudhalilisha watu....
Maumivu ya dhambi yana tabia ya kumrudi anayeishangilia... sasa waliokuwa wanashangilia dhambi zile zile zimegusa watu wanao wauma sasa wameanza kutafuta mchawi....
Huyu Mange anasifiwa kuwa shuja sasa ndio matokeo yake......
Kwaio nani mwenye access na mgonjwa aliyepo ICU? au ni moja ya ndugu?
Sawa, hajaanza leo na alikuwa anashangiliwa na walioguswa leo, Kwahiyo aachwe aendelee na tabia hiyo?Uchafu hajaanza kufanya leo sema unachagua uchafu wa kuusema...kwakuwa hili limekugusa basi unaona huu ni uchafu ...Mange ni mjinga na ni mjinga toka zamani hajaanza leo kwa hiyo pengine umechelewa kwakuwa alikuwa hajakugusa
Je ICU haina uangalizi kwamba watu wanajiingilia tu na kufanya yao au Madaktari ndio wanafanya haya ?
Ni kama nimekuelewa bwashee!Na watu walikuwa wanashangilia sasa leo tuna hamaki nini?
Acha ujinga bwashee.Wanaingia watu wengi kuona wagonjwa hauwezi just ni yupi.
Ni chumba chenye wagonjwa wengi.na wote uwa wanapumulia mipira. Mungu atuepushe
Yaaan waliolipia app watupwe sero? Kwa kosa gani?[emoji848][emoji848]Inasikitisha sana watu wanakosa utu kiasi hicho.
Na hilo lidada lililopost aisee lilaaniwe.
Na kuna mizombie inachekelea tu,inalipia na hela kuona mambo ya kipumbavu.
Hawa wote ilitakiwa wazolewe na kutupwa ndani jumlajumla(kwa sauti ya Mwanri)
Ndiyo wamesema uchunguzi unaendelea ngoja wacheki kwenye cctv za mlangoni alafu wachuje.Kwaio nani mwenye access na mgonjwa aliyepo ICU? au ni moja ya ndugu?
Sawa, hajaanza leo na alikuwa anashangiliwa na walioguswa leo, Kwahiyo aachwe aendelee na tabia hiyo?