Kwanini aliachwa? na kwanini asiachwe aendelee? Duh! Ili iwe nini sasa kwa mawazo yako.Kwanini aliachwa na akaonekana anafanya jambo la maana na anao uhuru wa kufanya hivyo? Kwanini tusiendelee kumuacha afanye atakavyo maana ndio uhuru ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini aliachwa? na kwanini asiachwe aendelee? Duh! Ili iwe nini sasa kwa mawazo yako.Kwanini aliachwa na akaonekana anafanya jambo la maana na anao uhuru wa kufanya hivyo? Kwanini tusiendelee kumuacha afanye atakavyo maana ndio uhuru ?
Acha ujinga bwashee.
Watu wengi wanaingia ICU?
Hakuna aliyewahi kupambana na Chadema akashinda
Kwanini aliachwa? na kwanini asiachwe aendelee? Duh! Ili iwe nini sasa kwa mawazo yako.
Unaijua ICU wewe?hautaki?
unataka kusema kuna idadi maalum!!?
Unaijua ICU wewe?
Labda Zahanati ya Tandale!na kuingia nimeingia kuona mgonjwa.
Sijui unataka kusema Nini
Labda Zahanati ya Tandale!
Labda Zahanati ya Tandale!
Kwa mfano agakhan ndugu wanaoingia ICU wanasajiliwa ili likitokea la kutokea ijulikane nani aliingia siku hiyo!unataka kusema Icu Hawaingii ndugu kuona wagonjwa?
ICU siyo wodi kama wodi nyingine bwashee.Mkuu ICU watu wanaingia nayo ni aina ya wodi!
Kwa mfano agakhan ndugu wanaoingia ICU wanasajiliwa ili likitokea la kutokea ijulikane nani aliingia siku hiyo!
Mambo yamebadilika sana bwashee.huo ni utaratibu wa aga Khan.
Ila Mimi nakumbuka mwaka 2015 niliingia kumuona babu yangu muhimbili pale.
nilipotoka mule ndani nilipigwa baridi ya ghafla.sikutaka kuingia tena kumuona mpaka anafariki
Mmmh haya buuwana
Nadhani uko uwezekano wakujuwa video imetoka wapi na hatua kali zichukuliwe, Ila tunaongea sababu ya Pro J mtu anajulikana ila kitendo hichi ni kibaya kwa mtu yoyote, haya mambo tunayaona yanatokea hata katika makundi ya social media hata ya kifamily.Kwaio nani mwenye access na mgonjwa aliyepo ICU? au ni moja ya ndugu?