Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

Muhimbili Mloganzila ni death penalty
Hawa madaktari waliojifunzia udaktari bongo na kupata degree za kuungaunga ni wauaji
Wanajivalisha hizo white coats lakini kichwani hamna kitu
Serikali/Wizara ya Afya na Mkurugenzi msije na haya majibu ya ovyo ovyo mnacheza na maisha ya watu
Hakuna hospitali hapo ni uchafu mtupu
Pelekeni madaktari nje wakajifunze zaidi
Wengi ni failure ndio shida Proffesor
Professor anza upya maelezo yako hayaridhishi
Absolutely true! na sasa hiyo form six ya PCB "kila" mtu anapata AAA! , BBB, AAB etc in this range. This was unthinkable in the 70s and 80s! Sasa uchafu mtupu unakwenda Muhimbili and other rubbish medical schools!
Angalia mtihani wa mwaka jana wa Biology eti ni form six!
1578316009106.png
1578316059552.png
1578316079620.png
1578316108720.png
 

Attachments

Ndio maana inaitwa hospitari ya rufaa inatakiwa iwe imekamilika kwa vifaa tiba na wataalamu, hospitali zetu zinaitwa rufaa jina tuuu lakini huduma ni mbovu kwakweli huwezi kujivunia vifo vya wagonjwa eti asilimia 10 tuu na mnaridhika. Ni lazima kurejesha tumaini kwa wagonjwa kuwa wanakokimbilia kuna tumaini la kuishi.
 
Kuwe na utaratibu sasa wakufunguliana kesi za ‘medical negligence’ vifo ambavyo chanzo chake ni uzembe walipe fidia. Ndio njia pekee yakulazimishana ku maintain professionalism and quality standards kwenye kutoa huduma.
 

Attachments

Percentage ya vifo kwa hospitali zote bado iko juu sana,
wahangaike kupunguza vifo viwe less that 5%
 
Muhimbili Mloganzila ni death penalty
Hawa madaktari waliojifunzia udaktari bongo na kupata degree za kuungaunga ni wauaji
Wanajivalisha hizo white coats lakini kichwani hamna kitu
Serikali/Wizara ya Afya na Mkurugenzi msije na haya majibu ya ovyo ovyo mnacheza na maisha ya watu
Hakuna hospitali hapo ni uchafu mtupu
Pelekeni madaktari nje wakajifunze zaidi
Wengi ni failure ndio shida Proffesor
Professor anza upya maelezo yako hayaridhishi
Last week nilikua ninaulizia impacts ya SUA kwenye jamii na kuna watu walisema dukuduku langu sio Valid na walitoa mifano mingi tuu mojawapo ikiwa ni umahiri wa madaktari wetu but Mimi bado ninasisitiza kwamba kuna incompetence kubwa Sana Kwa wasomi wetu..Mambo mengi yanaenda Kwa kudra za Mwenyezi Mungu...sidhani kama kuna brilliance inputs hapa... Nchi nyingine wangekua sued... hatuwezi kuendelea Kwa style hii ndugu zangu...we need Total Overhaul ya so called WATAALAMU
 
Hivi nikitoa uthibitisho wa marehemu ,tena ameacha watoto na mke (mama wa nyumbani) kwa uzembe ule

Je wako tayari kufanya uchunguzi kama nitatoka hadharani na ushahidi watamlipa fidia


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani michango ya rambirambi ya marehemu umeila Sasa unataka na fidia ya kifo Cha marehemu uwe na huruma na marehemu jamani.Marehemu angejua hili angejigomea kufa
 
Ndio maana inaitwa hospitari ya rufaa inatakiwa iwe imekamilika kwa vifaa tiba na wataalamu, hospitali zetu zinaitwa rufaa jina tuuu lakini huduma ni mbovu kwakweli huwezi kujivunia vifo vya wagonjwa eti asilimia 10 tuu na mnaridhika. Ni lazima kurejesha tumaini kwa wagonjwa kuwa wanakokimbilia kuna tumaini la kuishi.
Sijawahi kuona mtu mweusi akatuhumiwa jambo akakubari bila shuruti lazima akane kwanza.Hivyo ninatilia mashaka makubwa hii taarifa.Kwa mfano kuna mtu aliwahi kushikwa ugoni live lkn alikana eti alikuwa anamsaidia mke wa jamaa.
 
Hizi takuwimu wamezipika, simshauri mtu yoyote kupeleka mgonjwa wake muhimbili unless imeshindikana kabisa kupata huduma sehemu nyengine, chance ya ku-survive nasubutu kusema ni less than 1%, si hospital ni execution chamber.

Yamenitokea kwa wagojwa wangu 3, mmoja ameenda kwa maradhi mengine amekufa kwa maradhi mengine yaliosababishwa na either wauguzi au madoctor, mwengine alifariki emergency department after awaiting more than 30 hours bila kupata huduma, mwengine alifariki njiani kuelekea nyumbani after just one hour after being discharged from the hospital eti amepona, hao wote are closed related to me.

nukija kwa marafiki na majirani case ni nyingi JF hapatoshi.

Never ever again, pale nitawachia viongozi waende kupiga picha tu.
 
Mungu Baba tunaomba utujalie afya njema, tunakataa roho za ajali, ugonjwa, vifo wakati wa kujifungua na roho za mauti katika jina la YESU. Damu ya mwanao mpendwa YESU KRISTO itufunike katika familia zetu, mali zetu na biashara zetu, TUNAKUOMBA UTUJALIE AFYA NJEMA. 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
 
Mnakimbilia kutoa takwimu badala ya kufanyia kazi taarifa hiyo muhimu ya kijasusi!??

Huyu naye aliyeandika hii taarifa unakuta ni professional. Lazima kuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wa elimu yetu. Hivi kweli kulikuwa na ulazima wa kukanusha hiyo taarifa wakati mtu ameeleza hadi udhaifu wa hao watendaji!??

Issue hapa siyo asilimia ya vifo,issue hao waliokufa walipaswa kufa kama wangepewa Huduma kwa wakati!?? Hapo mgonjwa wa ajali mguu tumeambiwa kafa,hivi mgonjwa wa Moyo na kichwa anaponaje hapo!??

Tanzania ina wasomi wa hovyo sana,ni sawa tu hata kuwa hivi tulivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa wafikiria kama great thinker watakiwa uanze kwa kufikiria aina ya wagonjwa wanaoenda Mloganzila. Watanzania wengi wakienda hospitali ujue wako terminally ill, na hospitali huwa kama sehemu ya wao kufia.
Naunga mkono hoja!
 
Prof,pamoja na majibu yako mazuri,tunakushukuru kujibu tuhuma husika, iwapo pia waziri wetu ,mama yetu ummy mwalimu atatinga hapo ili naye ajiridhidhe na watanzania tunamwelewa,ni mkweli na mfuatiliaji.

Sasa Cha kusikitisha wakurungenzi wa Halmashauri za Bukombe,mbongwe, nyang'wale na nzera wametuhumiwa muda mrefu kuhusu wananchi kukosa huduma za barabara,maji,umeme na mengineo,Hadi Leo hawajajibu tuhuma hizo Bora Prof umejibu na watanzania wamekuelewa.

Pamoja na salami za mwaka mpya mh Rais ukitoka chato kuelekea dodoma tunaomba upitie wilaya za Bukombe,mbongwe, nyang'wale na nzera wananchi wanazo salamu zako pamoja na wewe mwenyewe kujionea Hali ya maisha tunsyoishi yasiyo na Maj,barabara,na umeme, Ila ombi la mwisho ukitoka geita pitia kakola,nyarugusu kutokea kahama mjini ujionee unovu wa barabara ulivyo na mkuu wa mkoa naye ajionee mwenyewe kwani hsjawshi kupita hiyo barabara kwa miaka mingi sana
 
Ikifika mahala sehemu kama Hospitali ya rufaa madaktari wanapiga soga na kutoroka kazini usiku huku wagomjwa wakifa kwa kiwango hicho na wahusika wanajitahidi kutao majibu ya hali mradi wamejibu elewa kuna shida sana na umuhimu wa Rais kuunda tume ya kiuchunguzi unakuwa na umuhimu wa kipekee kwa muktadha wa afya zetu.
 
Prof umeleta siasa!

Umetoa maelezo marefu na data nyingiiiiii za masilimia kukanusha alafu mwishoni unasema wakati hospitali ikiendelea kufanyia kazi tuhuma za mtoa mada, ina maana umekanusha kote huko hata hamjafanyia kazi tuhuma!

Unakuwa kama mshabiki wa chama cha siasa au timu ya mpira, unabishana kwanza ndio ujue facts.
 
Back
Top Bottom