Absolutely true! na sasa hiyo form six ya PCB "kila" mtu anapata AAA! , BBB, AAB etc in this range. This was unthinkable in the 70s and 80s! Sasa uchafu mtupu unakwenda Muhimbili and other rubbish medical schools!Muhimbili Mloganzila ni death penalty
Hawa madaktari waliojifunzia udaktari bongo na kupata degree za kuungaunga ni wauaji
Wanajivalisha hizo white coats lakini kichwani hamna kitu
Serikali/Wizara ya Afya na Mkurugenzi msije na haya majibu ya ovyo ovyo mnacheza na maisha ya watu
Hakuna hospitali hapo ni uchafu mtupu
Pelekeni madaktari nje wakajifunze zaidi
Wengi ni failure ndio shida Proffesor
Professor anza upya maelezo yako hayaridhishi
Angalia mtihani wa mwaka jana wa Biology eti ni form six!