Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hakuna haja ya salamu.
Hali imezidi kuwa mbaya kwa upande wa Palestina baada ya kuanzisha mashambulizi Israel. Waisrael wameendelea kumimina mabomb maeneo mbalimbali ya palestina hasa huko GAza na kuleta hali ya Umauti Mauti kwa wakazi wa eneo hilo.
Wapalestina wengi wameonekana wakisikitishwa na vita hivyo kutokana na maafa ambayo yanaendelea. na kuomba jamiii za kimataifa kuingilia katika kuleta hali ya amani nchini humo. Huku Waisrael wakiendeleza kuchafua hali ya hewa katika maeneo mengi wakilipiza mauaji yaliyofanyika kwa watu wao. wamesikika wakisema kuwa kama wapalestina wametaka kiti. wao wanawapata hadi kitanda wakalale.
taarifa kamili kutoka al jazeera.
www.aljazeera.com

Israel-Hamas updates: US set to deploy ‘additional assets’ to Middle East
These are the updates from Tuesday October 10, 2023