Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliyatafuta wenyewe. Mimi sina msaada nao.Umefurahi mwenyeweee....
Itabidi wapelestina waongee na HAMAS ili waache kuvamia raia wasiyo na hatia na kuua.Kwa kweli hali ilivyo Jumuia ya Kimataifa inabidi iingilie kati kuishawishi Israel isitishe mashambulizi ya anga kwa muda ili kuruhusu raia wasio na hatia mf.akina mama, watoto na wazee kutoka Gaza!
Otherwise ni maafa ya kutisha!
Kwanini wavamie kambi za jeshi kwamba wanajeshi ndiyo walipaswa kuuawa tu bila sababu ya msingi? Kwanini usiseme wavamie viongozi wa serikali?Unavamia tamasha la muziki na kuua watu ovyo halafu nani akusaidie zaidi ya kufanya ugaidi?
Mpalestina hana akili, alitakiwa avamie kambi za jeshi la israel na siyo raia.
Huyo atakayemsaidia atakuwa ni miongoni mwa kikundi cha kigaidi cha HAMAS.
Walibipu, acha wapigiwe mpaka wajute
Dunia imeipa mgongo palestina na kumuacha Israeli aendelee kufanya mauaji ya Kimbari.Hali inaendelea kuwa mbaya. Israel wanasema wata triple idadi ya watu wao waliouawa.
![]()
The bombs raining down on Gaza are beyond scary, beyond crazy
As Israel bombarded Gaza for the third night, I found myself closer to a missile hit that I could have imagined.www.aljazeera.com
Kwani nani alianzisha mashambulizi? mtu akianzisha vita aache vipiganwe. yeye ameshambulia watu wapo kwenye tamasha la music na kuua watu zaidi ya 200 na kuteka wengine ulitaka apongezwe? nyie watu mna akili kweli?Dunia imeipa mgongo palestina na kumuacha Israeli aendelee kufanya mauaji ya Kimbari.
Wanajeshi ndiyo wanapigana vita ili kujionesha mpo serious lazima upigane na mwenye silaha.Kwanini wavamie kambi za jeshi kwamba wanajeshi ndiyo walipaswa kuuawa tu bila sababu ya msingi? Kwanini usiseme wavamie viongozi wa serikali?
Washawekwa mtu kati, kinachofuata ni kujipigia tu! (WAR IS HELL!)View attachment 2777856
wapalestina pia wameua na kuteka raia wasio na hatia wa israel.....Kwa kweli hali ilivyo Jumuia ya Kimataifa inabidi iingilie kati kuishawishi Israel isitishe mashambulizi ya anga kwa muda ili kuruhusu raia wasio na hatia mf.akina mama, watoto na wazee kutoka Gaza!
Otherwise ni maafa ya kutisha!
Hao kinamama pia wapigwe kwanini wanazaa mtoto gaidi??Kwa kweli hali ilivyo Jumuia ya Kimataifa inabidi iingilie kati kuishawishi Israel isitishe mashambulizi ya anga kwa muda ili kuruhusu raia wasio na hatia mf.akina mama, watoto na wazee kutoka Gaza!
Otherwise ni maafa ya kutisha!
Waisraeli 260 waliuwawa "on the spot " katika tamasha hilo la muziki unaambiwa.Unavamia tamasha la muziki na kuua watu ovyo halafu nani akusaidie zaidi ya kufanya ugaidi?
Mpalestina hana akili, alitakiwa avamie kambi za jeshi la israel na siyo raia.
Huyo atakayemsaidia atakuwa ni miongoni mwa kikundi cha kigaidi cha HAMAS.
Walibipu, acha wapigiwe mpaka wajute
Dunia ni ya kinafiki sana. Hata katika mauji ya Kimbari, Rwanda walikaa kimya hivyo hivyo mpaka maiti zilipotapaa kila kona na kuanza kuokotwa katika mito ya nchi jirani ndipo wakajifanya wanaingilia kati.Kwa kweli hali ilivyo Jumuia ya Kimataifa inabidi iingilie kati kuishawishi Israel isitishe mashambulizi ya anga kwa muda ili kuruhusu raia wasio na hatia mf.akina mama, watoto na wazee kutoka Gaza!
Otherwise ni maafa ya kutisha!
Na hapo inatakiwa hiyo 260 izidishwe mara 2. Kazi ipoWaisraeli 260 waliuwawa "on the spot " katika tamasha hilo la muziki unaambiwa.
Vita sio kitu kizuri kabisa. Tuombe amani katika nchi yetu.
Ukoloni hauna nafasi katika Dunia ya sasa.Israel imesema itateka eneo lote la Gaza na imeahidi kulitoa kwa wayahudi kutoka kwa mtogole na mbagala watakaohamishiwa huko baada ya vita.
Psychopath.Kwani nani alianzisha mashambulizi? mtu akianzisha vita aache vipiganwe. yeye ameshambulia watu wapo kwenye tamasha la music na kuua watu zaidi ya 200 na kuteka wengine ulitaka apongezwe? nyie watu mna akili kweli?