Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

Kwa kweli hali ilivyo Jumuia ya Kimataifa inabidi iingilie kati kuishawishi Israel isitishe mashambulizi ya anga kwa muda ili kuruhusu raia wasio na hatia mf.akina mama, watoto na wazee kutoka Gaza!
Otherwise ni maafa ya kutisha!
 
Israel imesema itateka eneo lote la Gaza na imeahidi kulitoa kwa wayahudi kutoka kwa mtogole na mbagala watakaohamishiwa huko baada ya vita.
 
Itabidi wapelestina waongee na HAMAS ili waache kuvamia raia wasiyo na hatia na kuua.
Faizafoxy baada ya kusikia raia waisrael wamevamiwa na kuuliwa aliunga mkono. Inabidi nao wajisikie uchungu kama wa israel
Mpaka sasa wapelestina 700 wamekufa na hapo inatakiwa izidishwe mara 2 kwa raia wa israel waliouliwa*
 
Unavamia tamasha la muziki na kuua watu ovyo halafu nani akusaidie zaidi ya kufanya ugaidi?
Mpalestina hana akili, alitakiwa avamie kambi za jeshi la israel na siyo raia.
Huyo atakayemsaidia atakuwa ni miongoni mwa kikundi cha kigaidi cha HAMAS.
Walibipu, acha wapigiwe mpaka wajute
Kwanini wavamie kambi za jeshi kwamba wanajeshi ndiyo walipaswa kuuawa tu bila sababu ya msingi? Kwanini usiseme wavamie viongozi wa serikali?
 
Dunia imeipa mgongo palestina na kumuacha Israeli aendelee kufanya mauaji ya Kimbari.
Kwani nani alianzisha mashambulizi? mtu akianzisha vita aache vipiganwe. yeye ameshambulia watu wapo kwenye tamasha la music na kuua watu zaidi ya 200 na kuteka wengine ulitaka apongezwe? nyie watu mna akili kweli?
 
Kwanini wavamie kambi za jeshi kwamba wanajeshi ndiyo walipaswa kuuawa tu bila sababu ya msingi? Kwanini usiseme wavamie viongozi wa serikali?
Wanajeshi ndiyo wanapigana vita ili kujionesha mpo serious lazima upigane na mwenye silaha.
Watu wapo kwenye tamasha wanasheherekea unaenda kuwaua unafikiri ingekuwa imefanya Israel unafikiri nini kingetokea?
 
Nilisema hili swala Jumapili iliyopita
Washawekwa mtu kati, kinachofuata ni kujipigia tu! (WAR IS HELL!)View attachment 2777856
 
w
Kwa kweli hali ilivyo Jumuia ya Kimataifa inabidi iingilie kati kuishawishi Israel isitishe mashambulizi ya anga kwa muda ili kuruhusu raia wasio na hatia mf.akina mama, watoto na wazee kutoka Gaza!
Otherwise ni maafa ya kutisha!
wapalestina pia wameua na kuteka raia wasio na hatia wa israel.....
 
Kwa kweli hali ilivyo Jumuia ya Kimataifa inabidi iingilie kati kuishawishi Israel isitishe mashambulizi ya anga kwa muda ili kuruhusu raia wasio na hatia mf.akina mama, watoto na wazee kutoka Gaza!
Otherwise ni maafa ya kutisha!
Hao kinamama pia wapigwe kwanini wanazaa mtoto gaidi??
 
Sasa waisrael wamekufa 900 wapalestina 700! Halafu hapa naona watu mnasema mpalestina kapigwa au Mimi ndo sijui hesabu..?
Mi nafikiri huku tunapata taarifa zikiwa zimeshachakachuliwa!
 
Unavamia tamasha la muziki na kuua watu ovyo halafu nani akusaidie zaidi ya kufanya ugaidi?
Mpalestina hana akili, alitakiwa avamie kambi za jeshi la israel na siyo raia.
Huyo atakayemsaidia atakuwa ni miongoni mwa kikundi cha kigaidi cha HAMAS.
Walibipu, acha wapigiwe mpaka wajute
Waisraeli 260 waliuwawa "on the spot " katika tamasha hilo la muziki unaambiwa.

Vita sio kitu kizuri kabisa. Tuombe amani katika nchi yetu.
 
Kwa kweli hali ilivyo Jumuia ya Kimataifa inabidi iingilie kati kuishawishi Israel isitishe mashambulizi ya anga kwa muda ili kuruhusu raia wasio na hatia mf.akina mama, watoto na wazee kutoka Gaza!
Otherwise ni maafa ya kutisha!
Dunia ni ya kinafiki sana. Hata katika mauji ya Kimbari, Rwanda walikaa kimya hivyo hivyo mpaka maiti zilipotapaa kila kona na kuanza kuokotwa katika mito ya nchi jirani ndipo wakajifanya wanaingilia kati.
 
Waisraeli ni taifa la kuogopa sana,hata mtoa roho anaitwa Israeli ebu angalia hapo,taifa lipo kwenye viatu vyote vya dini
 
Israel imesema itateka eneo lote la Gaza na imeahidi kulitoa kwa wayahudi kutoka kwa mtogole na mbagala watakaohamishiwa huko baada ya vita.
Ukoloni hauna nafasi katika Dunia ya sasa.
 
Kwani nani alianzisha mashambulizi? mtu akianzisha vita aache vipiganwe. yeye ameshambulia watu wapo kwenye tamasha la music na kuua watu zaidi ya 200 na kuteka wengine ulitaka apongezwe? nyie watu mna akili kweli?
Psychopath.
 
Back
Top Bottom