Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

Urusi ndie kawatumia hamas kuipiga Israel ili aweze kuitandika vizuri Ukraine kwa maana nguvu zote zinaelekezwa Israel kulko Ukraine, michezo ya warusi hii
 
Hakuna haja ya salamu.

Hali imezidi kuwa mbaya kwa upande wa Palestina baada ya kuanzisha mashambulizi Israel. Waisrael wameendelea kumimina mabomb maeneo mbalimbali ya palestina hasa huko GAza na kuleta hali ya Umauti Mauti kwa wakazi wa eneo hilo.

Wapalestina wengi wameonekana wakisikitishwa na vita hivyo kutokana na maafa ambayo yanaendelea. na kuomba jamiii za kimataifa kuingilia katika kuleta hali ya amani nchini humo. Huku Waisrael wakiendeleza kuchafua hali ya hewa katika maeneo mengi wakilipiza mauaji yaliyofanyika kwa watu wao. wamesikika wakisema kuwa kama wapalestina wametaka kiti. wao wanawapata hadi kitanda wakalale.

taarifa kamili kutoka al jazeera.
Kwanza unachanganya vitu viwili tofauti, dini (Uislamu) na kabila (Uarabu). Ingawaje asili mia kubwa ya Waarabu ni Waislamu, lakini kuna Waarabu wakristu. Hivyo ndivyo ilivyo kwa wazungu, asilimia kubwa yao ni wakristu lakini pia kuna wazungu waislamu. Kama umependezewa na Uislamu fuata moyo unapokupeleka, achana na Ukrito ingia Uislamu. Achana na taarifa kuota au kuitwa au kuvutana kwa Mtume na Yesu. Hakuna kitu kama hicho. Dini yoyote ile hata zile za asilia kazi yake ni kufundisha jinsi ya kuishi na binadamu wenzako kwa amani, usalama, na mapenzi. Epuka tabia zinazohatarisha amani, usalama, na mapenzi. Habari ya mbinguni achana nayo. Mbinguni ni hapa hapa duniani na malipo ya dhambi ni hapa hapa duniani. Acha vitendawili vya starehe za mbinguni, ambazo kwa maelezo inaonekana huko (mbinguni) kama kupo kutakuwa VERY BORING.
 
Kwanini wavamie kambi za jeshi kwamba wanajeshi ndiyo walipaswa kuuawa tu bila sababu ya msingi? Kwanini usiseme wavamie viongozi wa serikali?
sheria ya vita inatak mpigne jeshi kw jeshi sio rai kw raia , yaan lenga sehem rasmi kwa shughuli za kijeshi au lenga walio kwenye sare za kijeshi
 
Nilisema hili swala Jumapili iliyopita
tulikuambia uache kushabikia ugaidi wa hamas utawaponza wapalestina , ww ulikuwa unashangilia ugaidi wa wapalestina sijui kichwan kwako ulihis waisrael hawatajibu
 
Sasa waisrael wamekufa 900 wapalestina 700! Halafu hapa naona watu mnasema mpalestina kapigwa au Mimi ndo sijui hesabu..?
Mi nafikiri huku tunapata taarifa zikiwa zimeshachakachuliwa!
kvp
 
Dunia ni ya kinafiki sana. Hata katika mauji ya Kimbari, Rwanda walikaa kimya hivyo hivyo mpaka maiti zilipotapaa kila kona na kuanza kuokotwa katika mito ya nchi jirani ndipo wakajifanya wanaingilia kati.
ww ndo mnafiki dunia nzima ilikemea kuhus walichofanya hamas ila hamas hawakujali , ss unaingiliaje wkt mmoja hasikiliz ushaur , solution ni wapalestina kuwakataa hamas ili israel ajue kuwa wanachofany hamas hakina uhusiano na wqpalestina ila kukaa kwao kimya ndo itawaumiza zaid
 
Ukoloni hauna nafasi katika Dunia ya sasa.
nan mkolon wakat wote walipelekwa hapo kama ilivyo liberia na sierra leon ila wapalestina ni wabaguz hwwakutaka kuinda nchi moja na wayaudi ila wenzao waafrika wa liberia na sierra leon waliwapokea wageni kwa amani kbs bila kinyongo
 
Urusi ndie kawatumia hamas kuipiga Israel ili aweze kuitandika vizuri Ukraine kwa maana nguvu zote zinaelekezwa Israel kulko Ukraine, michezo ya warusi hii
yaan akili zako bana
 
Sasa waisrael wamekufa 900 wapalestina 700! Halafu hapa naona watu mnasema mpalestina kapigwa au Mimi ndo sijui hesabu..?
Mi nafikiri huku tunapata taarifa zikiwa zimeshachakachuliwa!
Changa la macho hilo, ili wapalestina waendelee kupigwa tu.Waisrael wanataka Gaza iwe majivu yaani waisambaratishe Hamas for good, halafu wahamie Lebanon wakatoe kibano kwa Hizbollah halafu ndio watulie.
 
Zlie sherehe walizokuwa wanaziIfanya zimeishia wapi?

Majinga kweli haya
 
Vita hainaga mshindi ina vifo, majeruhi na uharibifu.

Mojawapo ya Upumbavu mkubwa wa binadamu, Ni ku uana wao kwa wao kwa Ardhi ambayo si kiumbe hai, ambayo ardhi hiyo Haifi ipo tu milele.

Unapoteza uhai kwa ardhi inayo ishi milele?

Vita ni ujinga na Upumbavu.

All wars are due to Human ignorance.
 
Hadi huruma,nyie si ndio juzi mlikua mnafurahia ambushi ya hamas na kusema intelijensia ya israel ya mchongo,mbona mnaanza kulialia mapema,watumeni tena vidume vyenu hamas wakafanye ambushi.
Intelligence ya Israel ilifeli na gharama zake wamezipata, muhimu ni wapatanishi waingilie Kati kutuliza hali
 
Sasa waisrael wamekufa 900 wapalestina 700! Halafu hapa naona watu mnasema mpalestina kapigwa au Mimi ndo sijui hesabu..?
Mi nafikiri huku tunapata taarifa zikiwa zimeshachakachuliwa!
HIi vita iendelee tu, unaambiwa Usrael wanashushiwa kichapo huko hsijapata kutokea.
Wameingia gaza kichwa kichwa wamechinjwa wote, Halafu Gaza wala hawana wasiwadi, maisha yanaendelea kama kawaida. Zile videos za eti Gaza inashambuliwa kumbe ni uongo mtupu
 
Back
Top Bottom