and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Kama ulitegemea India kimatibabu andika kabisa Wosia na uukabidhi kwa Mwanasheria maana kurudi mzima ni 20% RIP Rt Hon. Raila Odinga
LaanaHata Mwamposa amempeleka mama ake German, Ila huku bongo kuna wapumbavu wanaombewa wapone 😂
Mungu wanguIla muonekano wa ile hospitali 🙌 utadhani hospitali ya Mbalizi - Mbeya 😂
Kama Hawana ela?Hata Mwamposa amempeleka mama ake German, Ila huku bongo kuna wapumbavu wanaombewa wapone 😂
Kwahy ukiwa huna pesa matibabu ni maombi Ila ukiwa na pesa matibabu ni hospitali?Kama Hawana ela?
Mpaka waanzishe alichoanzisha mwamposa ni leo?
Uko Ujerumani watu huwa hawafi?Kama ulitegemea India kimatibabu andika kabisa Wosia na uukabidhi maana kurudi mzima ni 20% RIP Rt Hon. Raila Odinga
WanafiwaUko Ujerumani watu huwa hawafi?
Unasema 🤣😂Hata Mwamposa amempeleka mama ake German, Ila huku bongo kuna wapumbavu wanaombewa wapone 😂
Inasikitisha sana mkuu 😂Unasema 🤣😂
Kulingana na point yako.. ila maombi ni kwa yeyote hakuna ubaguzi kwa Mungu!Kwahy ukiwa huna pesa matibabu ni maombi Ila ukiwa na pesa matibabu ni hospitali?
Jibu swali acha ngonjeraKulingana na point yako.. ila maombi ni kwa yeyote hakuna ubaguzi kwa Mungu!
Kwakweli sijui..Jibu swali acha ngonjera
Tukitiki safari FrankfurtInasikitisha sana mkuu 😂
Kabisa kabisa kabisa 😢😢😢😢😢Kama ulitegemea India kimatibabu andika kabisa Wosia na uukabidhi kwa Mwanasheria maana kurudi mzima ni 20% RIP Rt Hon. Raila Odinga