Hospitali za India zimebaki kupiga hela, matibabu yapo Ujerumani

Hospitali za India zimebaki kupiga hela, matibabu yapo Ujerumani

Kifo ni kifo tu, wakati wako ukifika tii sheria acha kukimbilia maombi wara vituo vya afya, hayo ni matumizi mabaya ya kiroho pamoja na kuchoma pesa za ulithi kwa walengwa bure.
 
Ila muonekano wa ile hospitali 🙌 utadhani hospitali ya Mbalizi - Mbeya 😂
Hospitali ya kichovu sana ile. Fikiria hapa Omera keshapata heart attack ona wanavyohangaika. Totally disorganized! Hata hawajui afanye nini. Ingekuwa ni hospitali ya kwetu huku ungesikia maneno kibao. Afadhali hata angetibiwa tu Nairobi. Anyway RIP

View attachment 3489766
Kuna mwamba hapo amevaa pensi anamshindilia raila mikono ya kifuani tuu utadhani hakuna vifaa 😂
 
Nilichogundua wabongo wakiona mijengo mikali ndo wanajua kuna huduma bora, lkn wanasahau kuhusu vifaa na madokta bingwa ambao India wanawao kupita nchi nying za ulaya hata marekan

India wanakila kitu na madokta wao wen wanafanya kaz ukouko ulaya yote na USA hadi Canada

Mwisho siku ikifika lazma ufeee
 
Namba moja imepelekea kuwepo na namba 2

Namba 3 -5 ndo "underline conditions".

Ni kama vile mtu aumwe COVID-19 lakini kumbe ana "underline conditions" kama "Diabetes" na "Hypertension".

Mzee Raila Odinga kapigania kuwa raisi kama baba yake Jaramogi Oginga Odinga.

RIP, you play your part and paid your dues.
Sema viongozi huwa waoga izo condition mbona hata hapa Bongo wagonjwa tunao na wanaendelea kula maisha tu ,
 
Sema viongozi huwa waoga izo condition mbona hata hapa Bongo wagonjwa tunao na wanaendelea kula maisha tu ,
Ni kweli tena wapo wagonjwa wengi maskini na waishi bila shida.

Na uwezo wa fedha hawana ni Mungu tu ndie anaewalinda.

Lakini pia yawezekana serikali ndiyo imegharamia matibabu yake na kituo ni India kwa kuzingatia alikuwa waziri mkuu.
 
Upo sahii sana mkuu .
 
Back
Top Bottom