Barca
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,629
- 1,960
Kama ulitegemea India kimatibabu andika kabisa Wosia na uukabidhi kwa Mwanasheria maana kurudi mzima ni 20% RIP Rt Hon. Raila Odinga
View: https://www.threads.com/@osiemodaktari/post/DP1x69fiKcY?xmt=AQF0rJ1qGRimcGIXW0kP6ecuX_gHAXVvdW_-1-ggDL5o4g&source_surface=35&slof=1
Kwa diagnosis hizi India 🇮🇳 huyu mgonjwa asingetoboa. Anyways sijui watu wanakupendea nini India but ni wa kawaida sana.