Kama ulitegemea India kimatibabu andika kabisa Wosia na uukabidhi kwa Mwanasheria maana kurudi mzima ni 20% RIP Rt Hon. Raila Odinga
View: https://www.threads.com/@osiemodaktari/post/DP1x69fiKcY?xmt=AQF0rJ1qGRimcGIXW0kP6ecuX_gHAXVvdW_-1-ggDL5o4g&source_surface=35&slof=1
Kwa diagnosis hizi India 🇮🇳 huyu mgonjwa asingetoboa. Anyways sijui watu wanakupendea nini India but ni wa kawaida sana.
Wajinga na mazwazwa ndiyo waliwao. Na tuseme Amina.Kama ulitegemea India kimatibabu andika kabisa Wosia na uukabidhi kwa Mwanasheria maana kurudi mzima ni 20% RIP Rt Hon. Raila Odinga
Umejibu ki Kaaya Kaaya.Kwakweli sijui..
Ndio lugha gani?Umejibu ki Kaaya Kaaya.
😂😂😂😂😂Ila muonekano wa ile hospitali 🙌 utadhani hospitali ya Mbalizi - Mbeya 😂
😂😂😂😂😂Write your reply...india ni sawa na sibitali za mwananyamala na ikonda
View: https://www.threads.com/@osiemodaktari/post/DP1x69fiKcY?xmt=AQF0rJ1qGRimcGIXW0kP6ecuX_gHAXVvdW_-1-ggDL5o4g&source_surface=35&slof=1
Kwa diagnosis hizi India 🇮🇳 huyu mgonjwa asingetoboa. Anyways sijui watu wanakupendea nini India but ni wa kawaida sana.
Njoo Zanzibar pashaboreshwaKwanini tusiboreshe hospital zetu zikawa za kisasa
Ayo mambo ya India, ujeruman, Turkey ni ujinga
Kwenye COVID-19 wazungu walibugi walitegemea waafrica tutakufa sana kama mtalaka wa BILL GATE alivyosema matokeo yake wazungu walikuwa wanakatika sana.Kuna siku ma kasisi wa kanisa katoliki Italy walikufa 18.Africa ni mahali pazuri sana, kwa kuweka MAKABURI.
Aiseeee! Nilikuwa nimepitwa na hii, amakweli bongo kunanyumbu wengi na wanatia huruma, atakuja kusema hivi karibuni kinyonzi hajinyoi.Hata Mwamposa amempeleka mama ake German, Ila huku bongo kuna wapumbavu wanaombewa wapone