kichongeochuma JF-Expert Member Joined Jan 21, 2024 Posts 1,669 Reaction score 2,864 Aug 22, 2024 #41 Sexless said: Jibu hoja kwa hoja, kama hoja imekuzidi nguvu funika bakuli lako Hilo. Click to expand... Kwani ugoi goi na uvivu ni ni hoja nayo au kwa upeo wako unaonge ni zaburi
Sexless said: Jibu hoja kwa hoja, kama hoja imekuzidi nguvu funika bakuli lako Hilo. Click to expand... Kwani ugoi goi na uvivu ni ni hoja nayo au kwa upeo wako unaonge ni zaburi
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 22, 2024 #42 Huyu Jenister kichwani huwa yupo sawa kweli?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 22, 2024 #43 Ngurukia said: Facilities na uhalisia wa kimazingira unaruhusu? Wana kazi ya kutoa maagizo huku mambo yenyewe yapo ovyo ovyo. Akimaliza hapo anapanda zake V8 yake yenye kiyoyozi anaenda kulala. Click to expand... Staff kwanza hakuna, vitendea kazi ndiyo usiseme ni shida tupu?
Ngurukia said: Facilities na uhalisia wa kimazingira unaruhusu? Wana kazi ya kutoa maagizo huku mambo yenyewe yapo ovyo ovyo. Akimaliza hapo anapanda zake V8 yake yenye kiyoyozi anaenda kulala. Click to expand... Staff kwanza hakuna, vitendea kazi ndiyo usiseme ni shida tupu?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 22, 2024 #44 Sexless said: Jibu hoja kwa hoja, kama hoja imekuzidi nguvu funika bakuli lako Hilo. Click to expand... Chawa hawanaga akili
Sexless said: Jibu hoja kwa hoja, kama hoja imekuzidi nguvu funika bakuli lako Hilo. Click to expand... Chawa hawanaga akili
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 22, 2024 #45 kilaza mwenzangu said: Naunga mkono hoja. Kukaa hospitali masaa mengi ni uzembe tu wa madaktari na wauguzi,nenda pale hospitali kuu ya iringa homa ya kawaida tu! Lakini utamaliza siku nnzima pale Click to expand... Staff wapo wa ngapi na vifaa vipo?
kilaza mwenzangu said: Naunga mkono hoja. Kukaa hospitali masaa mengi ni uzembe tu wa madaktari na wauguzi,nenda pale hospitali kuu ya iringa homa ya kawaida tu! Lakini utamaliza siku nnzima pale Click to expand... Staff wapo wa ngapi na vifaa vipo?