kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Kwani ugoi goi na uvivu ni ni hoja nayo au kwa upeo wako unaonge ni zaburiJibu hoja kwa hoja, kama hoja imekuzidi nguvu funika bakuli lako Hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ugoi goi na uvivu ni ni hoja nayo au kwa upeo wako unaonge ni zaburiJibu hoja kwa hoja, kama hoja imekuzidi nguvu funika bakuli lako Hilo.
Staff kwanza hakuna, vitendea kazi ndiyo usiseme ni shida tupu?Facilities na uhalisia wa kimazingira unaruhusu?
Wana kazi ya kutoa maagizo huku mambo yenyewe yapo ovyo ovyo. Akimaliza hapo anapanda zake V8 yake yenye kiyoyozi anaenda kulala.
Chawa hawanaga akiliJibu hoja kwa hoja, kama hoja imekuzidi nguvu funika bakuli lako Hilo.
Staff wapo wa ngapi na vifaa vipo?Naunga mkono hoja. Kukaa hospitali masaa mengi ni uzembe tu wa madaktari na wauguzi,nenda pale hospitali kuu ya iringa homa ya kawaida tu! Lakini utamaliza siku nnzima pale