Hospitali zote zaagizwa zihudumie wagonjwa ndani ya masaa matatu, je hospitali zetu zimejengewa uwezo huu?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
IMG-20240821-WA0040.jpg

HOSPITALI ZOTE NCHINI ZAAGIZWA KUHUDUMIA MGONJWA KWA MASAA YASIYOZIDI MATATU

Na WAF - Dodoma

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia wagonjwa wa nje wanaofika kupata huduma kwa masaa yasiyozidi matatu.

Waziri Jenista amesema hayo leo Agosti 20, 2024 wakati alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General) ili kuona hali ya utoaji wa huduma sambamba na kuongea na watumishi waliopo Hospitalini hapo.

Amezitaka Hospitali zote nchini na kuziagiza kuzingatia mzunguko wa utoaji wa huduma kwa wagonjwa na kuhakikisha mzunguko huo unatumia masaa ya kitaalamu ambayo hayazidi masaa matatu kwa kila mgonjwa na kupunguza muda wa wagonjwa kukaa hospitali kusubiri huduma.

“Mgonjwa anapofika katika kituo cha afya au Hospitali asianze kuwaza ameenda kukaa sehemu hiyo kwa siku nzima na hivyo kusitisha shughuli zake nyingine, zingatieni mzunguko mzima wa utoaji huduma kwa wagonjwa kwa kuzingatia muda wa utaalam usiozidi masaa matatu". Amesema Waziri Mhagama.

Ameongeza kuwa muda huo ni kuanzia mgonjwa anapofika hospitalini kwa kuanza kujiandikisha, kumuona daktari, wakati anapatiwa matibabu na kupatiwa dawa kwamba mzunguko huo wa mgonjwa usizidi masaa matatu.

Ili kufanikisha hilo Waziri Mhagama amesisitiza uwepo wa matumizi ya TEHAMA pamoja mifumo kusomana ikiwa njia ndiyo njia pekee ya kuokoa muda na kutoa huduma bora kwa mgonjwa ikiwa ni sehemu ya kupunguza malalamiko ya mara kwa mara.

“Matumizi ya Tehama yatasaidia na kurahisisha mifumo ya matibabu na taarifa za mgonjwa kufanana na pia hata kurahisisha huduma kwa mgonjwa wakati atakapokuwa yupo hospitalini anatibiwa”. Amesema Waziri Mhagama.

Kwa upande mwingine, Waziri Mhagama wamewataka watumishi wa afya kuwa na lugha ya staha wanapohudumia mgonjwa kwani lugha nzuri ni kichocheo kimojawapo cha kumpa ahueni mgonjwa na kujisikia vizuri.

Halikadhalika, amewahakikishia watumishi wa afya nchini kushirikiana nao ili kuweza kuhakikisha huduma bora za afya zinaendelea kutolewa kwa wananchi na mtumishi yeyote mwenye shida ya kumuona milango iko wazi.

Je, hospitali zetu zina uwezo huu?
 
Kwa matamko tuu wako vizuri sana lakini ni danganya toto na hata wao wanajua wanatoa matamko ambayo haya tekelezeki lakini wanaongea ili waonekane wanafanya kazi
 
View attachment 3075700

Lack of facilities
Understaff situation
= hawezi kufikia kiwango hiko
 
Madhara ya vyeo vya kupeana Kwa kuangalia jinsia.ma,ingira yanaruhusu kuhudumiwa ndani ya masafa hayo matatu?
 
Hili ndiyo tatizo la kumpa uwaziri F6 failure asiyekuwa na chembe ya taaluma ya afya.

Hata hajui kuwa kuna mgonjwa anaweza kusubirishwa kwasabb kinyesi/mkojo wake unatakiwa, au sampuli zake zinatakiwa kufanyiwa culturing.
 
Anazungumzia kwa wagonjwa wa nje mkuu punguza munkari
 
Hili ndiyo tatizo la kumpa uwaziri F6 failure asiyekuwa na chembe ya taaluma ya afya.

Hata hajui kuwa kuna mgonjwa anaweza kusubirishwa kwasabb kinyesi/mkojo wake unatakiwa, au sampuli zake zinatakiwa kufanyiwa culturing.
Too personal
 
Naunga mkono hoja. Kukaa hospitali masaa mengi ni uzembe tu wa madaktari na wauguzi,nenda pale hospitali kuu ya iringa homa ya kawaida tu! Lakini utamaliza siku nnzima pale
Kwa hiyo hospitali zina uwezo kabisa wa kutoa wagonjwa ndani ya masaa matatu ?
 
View attachment 3075700
HOSPITALI ZOTE NCHINI ZAAGIZWA KUHUDUMIA MGONJWA KWA MASAA YASIYOZIDI MATATU

Na WAF - Dodoma

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia wagonjwa wa nje wanaofika kupata huduma kwa masaa yasiyozidi matatu.

Waziri Jenista amesema hayo leo Agosti 20, 2024 wakati alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General) ili kuona hali ya utoaji wa huduma sambamba na kuongea na watumishi waliopo Hospitalini hapo.

Amezitaka Hospitali zote nchini na kuziagiza kuzingatia mzunguko wa utoaji wa huduma kwa wagonjwa na kuhakikisha mzunguko huo unatumia masaa ya kitaalamu ambayo hayazidi masaa matatu kwa kila mgonjwa na kupunguza muda wa wagonjwa kukaa hospitali kusubiri huduma.

“Mgonjwa anapofika katika kituo cha afya au Hospitali asianze kuwaza ameenda kukaa sehemu hiyo kwa siku nzima na hivyo kusitisha shughuli zake nyingine, zingatieni mzunguko mzima wa utoaji huduma kwa wagonjwa kwa kuzingatia muda wa utaalam usiozidi masaa matatu". Amesema Waziri Mhagama.

Ameongeza kuwa muda huo ni kuanzia mgonjwa anapofika hospitalini kwa kuanza kujiandikisha, kumuona daktari, wakati anapatiwa matibabu na kupatiwa dawa kwamba mzunguko huo wa mgonjwa usizidi masaa matatu.

Ili kufanikisha hilo Waziri Mhagama amesisitiza uwepo wa matumizi ya TEHAMA pamoja mifumo kusomana ikiwa njia ndiyo njia pekee ya kuokoa muda na kutoa huduma bora kwa mgonjwa ikiwa ni sehemu ya kupunguza malalamiko ya mara kwa mara.

“Matumizi ya Tehama yatasaidia na kurahisisha mifumo ya matibabu na taarifa za mgonjwa kufanana na pia hata kurahisisha huduma kwa mgonjwa wakati atakapokuwa yupo hospitalini anatibiwa”. Amesema Waziri Mhagama.

Kwa upande mwingine, Waziri Mhagama wamewataka watumishi wa afya kuwa na lugha ya staha wanapohudumia mgonjwa kwani lugha nzuri ni kichocheo kimojawapo cha kumpa ahueni mgonjwa na kujisikia vizuri.

Halikadhalika, amewahakikishia watumishi wa afya nchini kushirikiana nao ili kuweza kuhakikisha huduma bora za afya zinaendelea kutolewa kwa wananchi na mtumishi yeyote mwenye shida ya kumuona milango iko wazi.

Je, hospitali zetu zina uwezo huu?
Huyo waziri anachekesha walionuna.
 
Masaa matatu ni mengi sana kusubiria kumuona daktari tu, inatakiwa ndani ya nusu.
Facilities na uhalisia wa kimazingira unaruhusu?

Wana kazi ya kutoa maagizo huku mambo yenyewe yapo ovyo ovyo. Akimaliza hapo anapanda zake V8 yake yenye kiyoyozi anaenda kulala.
 
Hili ndiyo tatizo la kumpa uwaziri F6 failure asiyekuwa na chembe ya taaluma ya afya.

Hata hajui kuwa kuna mgonjwa anaweza kusubirishwa kwasabb kinyesi/mkojo wake unatakiwa, au sampuli zake zinatakiwa kufanyiwa culturing.
Hicho nicheo Cha kisiasa mkuu , taaluma haina nafasi
 
Back
Top Bottom