Hot topic: Uvaaji wa suruali za kitambaa

Hot topic: Uvaaji wa suruali za kitambaa

Hapana. Haujapendeza mkuu

Sent using .... who cares anyway
 
Umesema watu wengi wanakosea katika ku-match muonekano wa juu (shati) na chini (suruali) na wewe ni mmoja wapo. Umezurula mno kwenye huo uvaaji
 
Miguu utafikiri sio yako. Kama imechomekwa tu hivi. Halafu miguu mpaka kwenye kiuno ni mirefu sana haina uwiano na kipande cha juu. Basi na hizo nywele ni kama wale si riziki. Kihivyo sivutiwi kabisa. Sorry

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mara ya mwisho kuvaa jinzi ilikua 2008 i guess. baada ya hapo ni suruali za vitambaa tu na kadet.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] sasa boss unakoenda siko, unakosoa hadi uumbaji wa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mara ya mwisho kuvaa jinzi ilikua 2008 i guess. baada ya hapo ni suruali za vitambaa tu na kadet.
Dah...tuko tofauti...mie kitambaa nadhani mwisho kuvaa ni miaka ya 70 mwanzoni mkuu...Sasa hivi ni jeans tu au kadet kwenye minuso [emoji2960][emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Wakati mwingine ukivaa shati la mikono mirefu usikunje

ukitaka kukunja,tafuta tshirt au shati za mikono mifupi tu

ukivaa shati la mikono mirefu kunjua acha kuleta usela halafu

hiyo saa si ya hayo mavazi uliyovaa,usirudie kuvaa hiyo saa

ukiwa unavaa suruali ya kitambaa au upo ki oficial kama hivyo

tafuta saa nyingine,isiwe hiyo. halafu mwisho kabisa Hiyo Body spray

usipende jipulizia hiyo spray ina makelele mingi sana tafuta spray iliyotulia😂😂😂
 
Chalii yangu usife moyo na maandishi ya wana JF. Komaa tu ila ipo siku utapatia. Chukua zile positive comments zifanyie kazi. Hapo fanya kama ulikuwa unataka ushauri namna ya kutokelezea. Pia usisahau kufanya ile kitu moyo wako unapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine ukivaa shati la mikono mirefu usikunje

ukitaka kukunja,tafuta tshirt au shati za mikono mifupi tu

ukivaa shati la mikono mirefu kunjua acha kuleta usela halafu

hiyo saa si ya hayo mavazi uliyovaa,usirudie kuvaa hiyo saa

ukiwa unavaa suruali ya kitambaa au upo ki oficial kama hivyo

tafuta saa nyingine,isiwe hiyo. halafu mwisho kabisa Hiyo Body spray

usipende jipulizia hiyo spray ina makelele mingi sana tafuta spray iliyotulia[emoji23][emoji23][emoji23]

I see. Hiyo hapo mwisho inaitwa big nose

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom