Umeandika nini kwani?Kikubwa ni CONTENT ambazo nimeeandika Just Ready to get some knowledge about FASHION&STYLES.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika nini kwani?Kikubwa ni CONTENT ambazo nimeeandika Just Ready to get some knowledge about FASHION&STYLES.
Sent using Jamii Forums mobile app
Doh afute tu nilitaka kutupia kapicha kangu nilikotokelezea na suruali ya kitambaa kipapa zaidi ila sio kwa kudiss huku
Kwa mwanaume sio lazima hii hebu tuwaachie wadada mambo ya kumatchKwa uelewa wangu mdogo wa maswala ya fasheni
Kiatu na mkanda vinatakiwa kuwa rangi moja.
Black kwa black au kama ni brown kwa brown.
Otherwise ficha mkanda.(usichomekee)
Waweza kwenda mbali zaidi na rangi ya mkanda wa saa kama ni wa ngozi.
Daaah! Mwezako na pozi kaweka.Daah hiyo picha uliyoweka sasa. Mashati ya hivyo siyapendi aisee na hicho kitambaa cha kung'aa tena lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Babe na wewe unavaa hivi?Daaah! Mwezako na pozi kaweka
Nilivaaga hivyo nikapita karibu moto nguo zikataka kuyeyuka.. 😁😀sijarudia tenaBabe na wewe unavaa hivi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilivaaga hivyo nikapita karibu moto nguo zikataka kuyeyuka.. [emoji16][emoji3]sijarudia tena