Hot topic: Uvaaji wa suruali za kitambaa

Hot topic: Uvaaji wa suruali za kitambaa

Suruali za kung'aa kwa jua Kali zinapata moto balaa halafu zinaumiza macho
 
Kwa uelewa wangu mdogo wa maswala ya fasheni


Kiatu na mkanda vinatakiwa kuwa rangi moja.


Black kwa black au kama ni brown kwa brown.

Otherwise ficha mkanda.(usichomekee)


Waweza kwenda mbali zaidi na rangi ya mkanda wa saa kama ni wa ngozi.
Kwa mwanaume sio lazima hii hebu tuwaachie wadada mambo ya kumatch
 
Back
Top Bottom