Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bei gani kwa usiku mmoja kulala tu chakula ntakula gengeniDah aiseee, ni pazuri ila wana bei sana. Na wageni wengi huwa ni wazungu na wahindi.
Hakuna jiwe litasalia juu ya lingine bila kugeuzwa safari hiiWanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.
Mwenye habari kamili atuhabarishe...
Mmmh mm sijui,niliekuwa nae ndio alilipa ila niliona tu anatoa hela nyingine.Ni bei gani kwa usiku mmoja kulala tu chakula ntakula gengeni
usisahau kunitag please mtani wanguNgoja nikitoka hapa kibaruani kwangu saa tisa na nusu nitapita hapo kupata uhakika.
Hoteli ina bei kubwa ya vyakula, vinywaji na vyumba!!
Nitaleta mrejesho leo hii hii
mie ndie CHIKIRA MTABARI mmbeya mwandamizi katika jiji la Miamba
Kuna Mwenzio Alipewa Offer Ya Flat Screen Ya Samsung Saiv Hawezi Kubana Miguu. Beware!!hahahahah, sasa misosi shost si mpaka niagize! misosi ya pale bei iko juu utadhani unanunua sijui kitu gani tu! Pale huwa ninaenda kama "nina offer" sio pesa yangu. hahahahahahahahahahah
Tutaongeza room ili tutosheeHahahaa kaa huko huko bana huku tumejaa.
Akili matope hiziWeka picha ya hiyo hotel.....kama ni kweli basi mmiliki wake atakua kwa namna moja anajihusisha na chadema.
Uzushi na upuuzi mtupu hotel hiyo haiwezi bomolewa kwani IPO away 123m away kutoka hifadhi ya reli. Wadanganye wa dar. Labda use me wakiibomoa basi reli itabidi ipite ndani ya ziwa kitu ambacho ni impossible. Tafuta mada nyingine kilaza wewe.Ngoja mwenye habari kamili aje
Mkuu mbona kama unadhani mimi ndio mtoa mada?? Halafu ni tetesi sio habari rasmi ujueUzushi na upuuzi mtupu hotel hiyo haiwezi bomolewa kwani IPO away 123m away kutoka hifadhi ya reli. Wadanganye wa dar. Labda use me wakiibomoa basi reli itabidi ipite ndani ya ziwa kitu ambacho ni impossible. Tafuta mada nyingine kilaza wewe.
Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.
Mwenye habari kamili atuhabarishe...
Huo unga bei juu umeulizia maana hata 1400 kwa kilo haufiki sasa hiviAaaargh... Waivunje tu. Na ikibidi na mmiliki wamuue. Nimechoka kusikia habari za hovyo kila siku. Badala ya kusikia mema kiiiila siku huyu katumbuliwa, mara sukari bei juu, kule unga haukamatiki. Potelea kweusi!! !!