Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

Ni Ya Nani Hiyo Hotel
Maana Serikali Ya Viwanda Inaweza Kuchepusha Reli Kuiacha Tu
 
Hii hoteli kuna mbu usipime. Lakini wanabomoa kupisha reli ya kwenda wapi, Capri--point?
 
Kama ni Kwa maendeleo ya Taifa, wanaMwanza na kanda ya ziwa Kwa ujumla acha wabomoe tu. Lakini wasisahau kumlipa fidia kama ana vibali halali kwan in gharama kubwa imetumika kuwekeza pale
 
Ngoja nikitoka hapa kibaruani kwangu saa tisa na nusu nitapita hapo kupata uhakika.
Hoteli ina bei kubwa ya vyakula, vinywaji na vyumba!!
Nitaleta mrejesho leo hii hii
mie ndie CHIKIRA MTABARI mmbeya mwandamizi katika jiji la Miamba
usisahau kunitag please mtani wangu
 
Ngoja mwenye habari kamili aje
Uzushi na upuuzi mtupu hotel hiyo haiwezi bomolewa kwani IPO away 123m away kutoka hifadhi ya reli. Wadanganye wa dar. Labda use me wakiibomoa basi reli itabidi ipite ndani ya ziwa kitu ambacho ni impossible. Tafuta mada nyingine kilaza wewe.
 
Uzushi na upuuzi mtupu hotel hiyo haiwezi bomolewa kwani IPO away 123m away kutoka hifadhi ya reli. Wadanganye wa dar. Labda use me wakiibomoa basi reli itabidi ipite ndani ya ziwa kitu ambacho ni impossible. Tafuta mada nyingine kilaza wewe.
Mkuu mbona kama unadhani mimi ndio mtoa mada?? Halafu ni tetesi sio habari rasmi ujue
 
Kama mtu alijenga na kudharau sheria huku akijua anaivunja anali.

Huyu labda aliambiwa ni pamepangwa kwa ajiki ya reli na akafikiri ikija kufika huko labda ni miaka 100 ijayo... angejua atatokea Rais Magufuli hasingejonga kupewa kibali.

Kama hakufatilia hayo ya mipango miji atajiju shaaaaaaa
 
Natumai watalipwa fidia, haiwezekani mtu awekeze pesa chungu nzima kiasi hiki kwa kupewa vibali vyote na vyombo husika halafu aje kuvunjiwa bila fidia. Vinginevyo hii itawatia woga watu kuwekeza kwenye chochote kile kwa hofu kwamba Serikali itakuja kuwavunjia bila fidia hata ya senti moja.

Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.

Mwenye habari kamili atuhabarishe...

 
Aaaargh... Waivunje tu. Na ikibidi na mmiliki wamuue. Nimechoka kusikia habari za hovyo kila siku. Badala ya kusikia mema kiiiila siku huyu katumbuliwa, mara sukari bei juu, kule unga haukamatiki. Potelea kweusi!! !!
Huo unga bei juu umeulizia maana hata 1400 kwa kilo haufiki sasa hivi
 
Back
Top Bottom