Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

Muanzisha uzi, pale reli inapita kutoka wapi kwenda wapi, mbona picha haiji vizuri! Au wamevamia ufukwe?
 
New member kuwa na heshima basi pia uache kukurupuka soma majina ya wachangiaj na mtoa mada
Uzushi na upuuzi mtupu hotel hiyo haiwezi bomolewa kwani IPO away 123m away kutoka hifadhi ya reli. Wadanganye wa dar. Labda use me wakiibomoa basi reli itabidi ipite ndani ya ziwa kitu ambacho ni impossible. Tafuta mada nyingine kilaza wewe.
 
Mkuu mbona kama unadhani mimi ndio mtoa mada?? Halafu ni tetesi sio habari rasmi ujue
Hahah pole huo ni upotoshwaji wa kiwango cha bashite watu wa fanye investigation analysis ndo wakurupuke kuja humu
 
Back
Top Bottom