Hoteli ya Sugu iwafumbue macho vijana kuhusu nguvu ya uwekezaji

wacha kuwaza jana
 
Si walitaka kumbomolea kwa kile kinachodaiwa kujenga kwenye chanzo Cha maji wivu wa kisiasa Magu kamtuma Mkuu wa mkoa na kampiga stop hoteli hiyo kubomolewa.Shame on them.Impala pale Arusha imejengwa wapi!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Another dirty CCM nincompoop trying to justify the riches of thieving Party leaders to be genuine while trying to portray all other rich people's riches of nonmembers are questionable obtained fraudulently according to findings of your research. Only a stupid CCM member can travel the world snooping on highly regarded rich people instead of findind out how our own Government leaders got filthy rich as soon as we voted them into office. What's it to us the families researched are rich and how they got there? It would have made sense, had you sense, if you found out how our leaders from humble beginnings got rich to start dispensing money to cronies wherever they go. The Krupp family in Germany, for example, is well known and respected industrialist family involved in many industries but you may not find a worker of that name in all the Krupp companies because they started humbly, grew and died out. Wajinga wa CCM wanataka wao tu ndo watajirike, Wapinzani akina Sugu na wenzake hata kidogo walichonacho wanyang'anywe!
 
Eti wanasema Sugu ametepeta mideni bank inamsumbua 309mil atalipaje
 
Makonda ana miradi gani halali? Huyo Hapi zaidi ya per diem na mshahara wa kila mwezi ana vyanzo gani vingine vya mapato?
Hotel yake iko Mwanza ....sijui kama anaweza kuelezea alipataje
 
The good story is...you too have your "dark" side
 
Hiyo Hotel aliijenga kabla ya kuwa mbunge au baada ya kukusanya masurufu yakutosha ya bungeni?
Tuwaambie ukweli vijana kujiajiri sio rahisi kama wengi wanavtofikjria.
 
Mkuu hueleweki,

Mwanzoni umesema wewe ni mzee,( sisi tulio uzeeni), baadae umesema unawaomba vijana wenzako mjitahidi!!!!!!!!!. Ila hoja yako iko vizuri.
Anabadilika kama kinyonga kutegemea na mazingira. Mpaka anasahau yeye mzee au kijana.
 
bia chama cha mapinduzi hakuna cha kundika.
 
Hotel yake iko Mwanza ....sijui kama anaweza kuelezea alipataje

Katika form za Maadili alitakiwa ajieleze hiyo hotel alijenga kwa vyanzo vipi via Maputo alipokuwa Kuanzia DC Mpaka RC!!
 
Sikuwa namfikiria Sugu kama mpinzani,mine was an assessment on general terms.Naomba unielewe.
 
Swala sio watu kama hawapendi utajiri, au utafutaji au kuwa na uwekezaji mkubwa bali ni mifumo ilivyokaa haimjengi kijana huyo kuanza kuwekeza kwa faida punde amemaliza chuo au pia kijana ambae hajaenda shule anaetaka kufanya biashara yote ni kuanzia elimu inayomuandaa, mifumo ya kisiasa, inategemana na serikali iliyopo madarakani... Hayo mambo niliyokutajia ni vikwazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…