Hoteli ya Sugu iwafumbue macho vijana kuhusu nguvu ya uwekezaji

Makonda ana miradi gani halali? Huyo Hapi zaidi ya per diem na mshahara wa kila mwezi ana vyanzo gani vingine vya mapato?
Wewe una mradi gani halali au umekaa kuaangalia wenzako wamefanya nini....
 
Nakuelewa mkuu upo sahihi
 
Tatizo hadi Rais aseme wewe fanya biashara, asiposema vyombo yake vinakuvunjia, aibu sana hii!
Hilo hata mimi nimeliona, yani mkuu wa mkoa wakati ana adress swala la sugu alikua anaongea kwa confidence zote kumbe alikua tayari kashapewa maelekezo na mkubwa wake
 
Kwahiyo mkuu ukishajua hilo, una kazi yani umekua ukifuatilia watu wamezipataje mali zao hata kama iwe halali au sio halili wewe pambana na njia halali ujipatie chako, ukiwa busy sana na maisha ya watu utayasahau maisha yako
 
Pambana na life mzee acha mambo yako ya kujifanya muandishi wa stori za watu
 
Kusema Msigwa amebobea kwenye kilimo cha nyanya ni kumdharau?
Wewe una utindio wa ubongo nahisi

Nadhani sasa umepata kujua MTAZAMO wa VIJANA kuhusu KILIMO. Wanadharau kilimo, wanaona ukiwa unalima basi wewe hauko vizuri. Bali ukiwa na biashara nyingine kama madala dala au hotel/guest house, wewe uko vizuri. Badala ya kubishana, kama Taifa tunahitaji kuwa na namna bora ya kubadilisha mtazamo wa vijana. Waone kilimo kuwa ni fursa. Ni fursa iliyo wazi kama fursa nyingine. Waendelee kuifuatilia itawalipa.
 
Kusema Msigwa amebobea kwenye kilimo cha nyanya ni kumdharau?
Wewe una utindio wa ubongo nahisi
kilichosababisha uonekane umemdharau ni hii kusema "msigwa yuko vyema kweye kilimo cha nyanya tu" hilo neno tu ndilo limebeba maana nzima ya sentensi yako
 
Umesomeka mkuu,ina maana ulikuwa unapiga zaid ya mil 100.Hongera saana,vipi sasa mbona watu wengi wanasema kilimo ni kama kubahatisha ama pata potea? Wewe ulikuwa unatumia mbinu gani..
 
Pambana na life mzee acha mambo yako ya kujifanya muandishi wa stori za watu
Nimesema clearly kwamba watu wakubwa matajiri sana niliofanyia utafiti wana dirty stories.Tena very dirty,na sitabadili msimamo wangu,kwa kuwa ndio ukweli.Huwaoni akina Bill Gates,Anthony Fauci wanayofanya?These are clear examples.Wewe si unawaona wauza unga,watoa makafara mpaka watoto na baba zao,ni very clear,msikimbie ukweli.Si unaona yanayotokea Syria,Yemen nk.Yote hayo ni kutafuta utajiri.Utajiri is synonymous to evil,ndio maana hata neno la Mungu maeneo mengi limeongelea negatively about riches,mpaka kusema wazi kwamba ni vigumu tajiri kuurithi ufalme wa Mungu!Huo ndio ukweli,whether you like it or not.

Soma 1Tim.1:7-10;Yaj.1:9-10;Yak.5:1-9. Notice mstari wa sita,that is exactly what reach people do to poor people.Infact Mungu amesema wazi usitamani mali ya tajiri!
 
Sawa mkuu ila tuyaache hayo, cha msingi ni kutafuta pesa kwa jasho
 
Pambana na life mzee acha mambo yako ya kujifanya muandishi wa stori za watu
Niko kwenye mada,wala sijatoka nje.Najaribu tu kuonyesha kwamba sio kila king'aacho ni thahabu.Hata hivyo najua kwamba jambo hili ni taboo kwa watu wengi wa leo,hawataki kabisa liongelewe kwa kuwa wapo huko.
 
Sawa mkuu ila tuyaache hayo, cha msingi ni kutafuta pesa kwa jasho

Nimesema clearly kwamba watu wakubwa matajiri sana niliofanyia utafiti wana dirty stories.Tena very dirty,na sitabadili msimamo wangu,kwa kuwa ndio ukweli.Huwaoni akina Bill Gates,Anthony Fauci wanayofanya?These are clear examples.Wewe si unawaona wauza unga,watoa makafara mpaka watoto na baba zao,ni very clear,msikimbie ukweli.Si unaona yanayotokea Syria,Yemen nk.Yote hayo ni kutafuta utajiri.Utajiri is synonymous to evil,ndio maana hata neno la Mungu maeneo mengi limeongelea negatively about riches,mpaka kusema wazi kwamba ni vigumu tajiri kuurithi ufalme wa Mungu!Huo ndio ukweli,whether you like it or not.

Soma 1Tim.1:7-10;Yaj.1:9-10;Yak.5:1-9. Notice mstari wa sita,that is exactly what reach people do to poor people.Infact Mungu amesema wazi usitamani mali ya tajiri
 
Umesomeka mkuu,ina maana ulikuwa unapiga zaid ya mil 100.Hongera saana,vipi sasa mbona watu wengi wanasema kilimo ni kama kubahatisha ama pata potea? Wewe ulikuwa unatumia mbinu gani..

Mtu kusema kilimo ni pata potea ni kukosa ujuzi na maarifa ya kutosha!
Yaani mtu anataka aingie shambani, atifue udongo, atie mbengu asubirie mvua inyeshe, avune auze! Hapo ni kwa nini isiwe pata potea?
Mtu anayelima kwa mfano kilimo cha kisasa kwa kutumia green house kwenye mboga mboga huyo kilimo kwake itakuwaje pata potea?
Kuhusu mbinu za kutumia, mkuu inabidi uingie field, nikieleza hapa labda nianzishe uzi mwingine!
Bahati mbaya, me zaidi napendelea kuingia field, sometimes kile kinachoandikwa na uhalisia unaweza kuwa tofauti! Kuna vijana flani kipindi kimoja walitoka vyuo vya kilimo nikaingia nao kwenye field moja, yaani mimi ndio nilibaki kuwa muelekezaji wa kila jambo angali wao walikuwa ni graduate kabisa!
Tulikuwa tunaamka saa tisa ya usiku kwa ajili ya kuua viwavi ambavyo vilikuwa vinakula mimea, jamboa ambalo walikuwa hawajui! Walijua ukishanyunyizia dawa imetoka vinakufa!
Ambao walikuwa hawajui hili kila wakati walikuwa wakiamka asubuhi wanakuta mimea imekatwa, hapo lazima iwe pata potea tu!
Hivyo kuna mbinu nyingi mno kwenye hii sector ukitaka ikutoe ni lazima ujitoe, na kujifunza siri kutoka kwa wazoefu!
 
Hao walitaka kumbomolea kweli sugu ila wakaangalia pros and cons wakaona hasara ni nyingi......Walitaka kumtia jamba jamba sugu ili aunge mkono juhudi ila wakaona Sugu alifuata process zote wakaona wakiendesha kesi watashindwa pili italeta picha mbaya kwa wawekezaji wengine maana watu ambao sio wanasiasa wataogopo kuwekeza!
 
Sugu Ni KIJANA?
 
Wewe una mradi gani halali au umekaa kuaangalia wenzako wamefanya nini....

Ninakuhakikishia 100% kuwa mimi sio wa buku 7 ; ninajitambua na situmwi na mtu , na nina uhakika wa chakula na malazi yangu na familia yangu siku zote za uhai wetu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…