Hotuba Hii ya Hayati Rais Magufuli imenitoa Machozi

Lancashire

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2014
Posts
14,057
Reaction score
10,367
Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu aliamua kukuchukua. Endelea kupumzika kwa amani Kiongozi wetu mpendwa.

Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu aliamua kukuchukua .Endelea kupumzika kwa amani Kiongozi wetu mpendwa.
Mungu amueke mahara anapo sitahiri......
 
Tunasema pengo lake halitazibika kwa maana ya alijaza sehemu kubwa so kuondoka kwake nafasi kubwa imebakia wazi. So next time unasema Pengo lako halitazibika kamwe.

Kitu kingine hakufariki kwa mapenzi ya MUNGU kila mtu anajua hilo. Hebu tusimuhusishe MUNGU na hila za wadhalimu.

Amen.
 
MWAMBA ALIKUWA MSHAMBA SANA.USHAMBA +UKATILI× UMWAMBA×UBABE=Ndyo ilisababisha kifo chake.maadui wake walipenya hapo.magu alizungukwa na kundi la washamba ambao walishndwa kustudy dunia inataka nn kwa wakati huu.
 
Ila watanzania tuna unafiki wa next level ni vile ni ngumu kuadmit maana kila mmoja anajifanya yupo perfect kichwani... Mi nakumbuka enzi za Magu wafu walikuwa wanamtolea negative comments sana mtaani mara anaminya uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa vyama kufanya mikutano mara Kabana mara hakuna hela mara anajenga madaraja na kununua ndege na watanzania wa chini wanazidi kudidimia kiuchumi leo hii tunavomtukuza angekuwepo sidhani kama mngesema hivi
 
Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu aliamua kukuchukua .Endelea kupumzika kwa amani Kiongozi wetu mpendwa.
Daaa! " Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu aliamua kukuchukua .Endelea kupumzika kwa amani Kiongozi wetu mpendwa.
Kama unaweza kulia kwa vitu vya kijinga basi machozi yako umeyatumia vibaya. Ukute hata ndugu zako wa karibu wakifariki haupati hata majonzi, ila umeamua kumlilia mtu aliyekataliwa na Mungu
 
MWAMBA ALIKUWA MSHAMBA SANA.USHAMBA +UKATILI× UMWAMBA×UBABE=Ndyo ilisababisha kifo chake.maadui wake walipenya hapo.magu alizungukwa na kundi la washamba ambao walishndwa kustudy dunia inataka nn kwa wakati huu.
Alitakiwa akae na watu fulani hivi wenye mbinu za kijasusi level ya urusi, wampe mbinu za kumkimbiza mwizi kimya kimya bila kelele.

Angewakalisha sana hawa vilaza wanaopenda vya bure.
 
Magufuli alikuwa mwamba. Africa inahitaji viongozi kama Magufuli.
Dikteta alikuwa mwoga sana ndiyo maana kila mahali alizungukwa na CDF, IGP na DG -TISS. Magufuli alikuwa mwoga na hajiamini, nashangaa watu wanamuita MWAMBA!! Mwamba gani anakufa kwa corona?
 
MWAMBA ALIKUWA MSHAMBA SANA.USHAMBA +UKATILI× UMWAMBA×UBABE=Ndyo ilisababisha kifo chake.maadui wake walipenya hapo.magu alizungukwa na kundi la washamba ambao walishndwa kustudy dunia inataka nn kwa wakati huu.
Mawazo kama haya ni muhimu yawepo ili kubalance mambo.
Endelea kufurahia umeme wa bwawa la Nyerere.

R.I.P JPM..!
 
We bwege kweli, unajua hata maana ya laana wewe. Mfuateni huyo mfu wenu muus
Laana ya Magufuli inaendelea kuwatafuna walioshangilia kifo chake, wanagombana tu na kutukanana kwenye mitandao ya kijamii
 
Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu aliamua kukuchukua .Endelea kupumzika kwa amani Kiongozi wetu mpendwa.
Utamkumbuka wewe huyo mhutu muuaji
 
Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu aliamua kukuchukua .Endelea kupumzika kwa amani Kiongozi wetu mpendwa.
Dah noma
 
Dikteta alikuwa mwoga sana ndiyo maana kila mahali alizungukwa na CDF, IGP na DG -TISS. Magufuli alikuwa mwoga na hajiamini, nashangaa watu wanamuita MWAMBA!! Mwamba gani anakufa kwa corona?
Magonjwa hayana baunsa
 
Back
Top Bottom