Hotuba Hii ya Hayati Rais Magufuli imenitoa Machozi

Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu aliamua kukuchukua .Endelea kupumzika kwa amani Kiongozi wetu mpendwa.
I'll forever grieve for this man.

Let him rest in peace
 
Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu aliamua kukuchukua .Endelea kupumzika kwa amani Kiongozi wetu mpendwa.
Watanzania wengi ni zero brain na wenye ugonjwa wa akili..... hizo fiction ndo zinakutoa machozi?
 
Mnapangwa sana. Jumlisha hiko kinanda ndio ukaingia kingi. Hiko kinanda hata awekewe aliyembaka mwanao wa miaka mitatu akiongea. Utamuonea huruma.
 
MWAMBA ALIKUWA MSHAMBA SANA.USHAMBA +UKATILI× UMWAMBA×UBABE=Ndyo ilisababisha kifo chake.maadui wake walipenya hapo.magu alizungukwa na kundi la washamba ambao walishndwa kustudy dunia inataka nn kwa wakati huu.
Hii sentensi yako mjomba sijaielewa unaweza fafanua..na pia tujue Dunia ilikuwa inataka nini kwa.muda ule..wengine tunajifunza mjomba usishangae
 
Dikteta alikuwa mwoga sana ndiyo maana kila mahali alizungukwa na CDF, IGP na DG -TISS. Magufuli alikuwa mwoga na hajiamini, nashangaa watu wanamuita MWAMBA!! Mwamba gani anakufa kwa corona?
Nimepita tuu, naomba weka na tu picha jomba..!!
 
Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu aliamua kukuchukua .Endelea kupumzika kwa amani Kiongozi wetu mpendwa.
Mwamba was for real 🙏🙏🙏 !
 
Hata Mimi imenitoa machozi kabisa ukizingatia Kwa Sasa mama kauza maeneo ya wamasai na kuwafukuza,mafuta(petroli,diseli na mafuta ya taa kupanda bei kuliko kipindi chochote toka tupate uhuru na mbo mengine yote kuwa mabaya
 
MWAMBA ALIKUWA MSHAMBA SANA.USHAMBA +UKATILI× UMWAMBA×UBABE=Ndyo ilisababisha kifo chake.maadui wake walipenya hapo.magu alizungukwa na kundi la washamba ambao walishndwa kustudy dunia inataka nn kwa wakati huu.
Wewe ambaye umestudy namna dunia inavyotaka umemzidi nini?

Kumbuka mwamba alisema anaenda kuongoxa malaika huko mbinguni so mtalutana tu
 
Back
Top Bottom