Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Leo najitolea kukuwekea sungusungu akulinde ili usinywe sumu maana uamuzi wa rais utakuwa umekuumiza vibaya.

Mlizoea kuwabagua watu kwa itikadi zao na kama siyo mwana ccm au mramba miguu mnamuona kama mnyama.
Mbona Mghwira ni mkuu wa nkoa wa Kilimanjaro? Sema wewe shida yako ni hadi Lisu ateuliwe ndio utaona hatubagui.

Mwambie arudi sasa aje tumteue
 
Kama lengo ni kuijenga Tanzania sio shida. Lengo letu liwe moja kuipeleka nchi yetu mbele. Hivyo vyama vipo tu na vitazidi kuja
Ingependeza kama tungekuwa tayari tuna katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Safi sana.
Tunamtaka rais kama huyu.
Kwenye vyama vya upinzani kuna watanzania kadhaa wenye sifa ya kutumikia taifa lao.
 
Wewe K.. Magufuli aliku.f.ir.a nini kabla hajafa!?.. kila post unamuwaza yeye. Punguza jazba kuna maisha baada ya JPM. Samehe na kusahau ma.rinda yatarudi tu. hayupo tena duniani.
Pumbaf sana wewe unavutiwa nini kutukana matusi ya nguoni?
 
Na mimi nadhani hivyo hivyo kwamba akishawateua wale vinara ili waingie Serikalini basi WATABWETEKA na kasahau umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi. Je, hao wapinzani anaokusudia kuwateua wa Chadema watakuwemo au itakuwa ni wa ACT, TLP, CUF etc na kuwaacha wa Chadema solemba ili kuonyesha hao ni wakorofi hawastahili kuwepo Serikalini? Ngoja tusubiri kuona hii picha ambayo mama amejiandaa kuicheza.
 
Acha kelele wewe mwambie mbelgiji aje tumpangie kazi aache kukaa kwa wanaume
Na hapo bado mama Samia atawapiga pini hadi mtatamani dunia ipasuke shenzi
 
Awamu ya pili ya kuua upinzani. Ila huyu anataka kuua kisomi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…