Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Itakuwa haina maana ya upinzani.Haahaa mama oyee, Zitto, Lissu na Mbowe wajiandae kupewa vyeo. Akiwapa kina halima sitamwelewa
Waende kusimamia sera za ccm wakati hawaziamini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa haina maana ya upinzani.Haahaa mama oyee, Zitto, Lissu na Mbowe wajiandae kupewa vyeo. Akiwapa kina halima sitamwelewa
Unataka ushahidi gani zaidi ya kuzuia kufanya uchunguzi wa waliohusika!Kwani jiwe ndio aliagiza? Ushahidi unao?
Nchi kwanza, vyama nyumaUnataka ampe cheo Mh Mbowe ili CHADEMA ife sio ?!
Mbona Mghwira ni mkuu wa nkoa wa Kilimanjaro? Sema wewe shida yako ni hadi Lisu ateuliwe ndio utaona hatubagui.Leo najitolea kukuwekea sungusungu akulinde ili usinywe sumu maana uamuzi wa rais utakuwa umekuumiza vibaya.
Mlizoea kuwabagua watu kwa itikadi zao na kama siyo mwana ccm au mramba miguu mnamuona kama mnyama.
Wapo wengi najua macho take yanaona.Aminia Mama.Na J J Mnyika!
Basi ngoja tuanze na mbowe tumpe wilaya ya hai
Ingependeza kama tungekuwa tayari tuna katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.Kama lengo ni kuijenga Tanzania sio shida. Lengo letu liwe moja kuipeleka nchi yetu mbele. Hivyo vyama vipo tu na vitazidi kuja
Kwani jiwe ndio aliagiza? Ushahidi unao?
Jibu utayari wako wa kuitetea hiyo katiba mpya, hilo ndilo swali.... njia utakazotumia kutetea hazina maana kama hujui utayari upo au la.
Safi sana.Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.
Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania
Maendeleo hayana vyama!Nchi kwanza, vyama nyuma
Pumbaf sana wewe unavutiwa nini kutukana matusi ya nguoni?Wewe K.. Magufuli aliku.f.ir.a nini kabla hajafa!?.. kila post unamuwaza yeye. Punguza jazba kuna maisha baada ya JPM. Samehe na kusahau ma.rinda yatarudi tu. hayupo tena duniani.
I'm smelling a rat! Huyu anataka kutumia mbinu ile ile aliyotumia shetani mtu Magufuli lakini kwa njia tofauti. Shetani Magufuli aliwashawishi wapinzani kuhama vyama vyao kwa kuwapa vyeo serikalini na huyu Mama atafanya hivyo hivyo bila kuwalazimisha kuhama vyama vyao na kwa rushwa hii mtu mwenyewe atanyong'onyea na kuunga juhudi ili kuimarisha nafasi yake ya uteuzi.
Huu ndiyo ukweli ingawa mchungu!
Na hapo bado mama Samia atawapiga pini hadi mtatamani dunia ipasuke shenziAcha kelele wewe mwambie mbelgiji aje tumpangie kazi aache kukaa kwa wanaume
Awamu ya pili ya kuua upinzani. Ila huyu anataka kuua kisomi zaidiRais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.
Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania
Wacha kujibaraguza ukweli mnaumia sana kuona mama anaiondoa nchi kwenye genge hatari na kuirudisha kwenye mikono salamaBasi ngoja tuanze na mbowe tumpe wilaya ya hai
Wengi wao watahama nchiMama anawapa MATAGA wakati mgumu sana sana
Ni maoni yakoMzalendo aliyekuwa anaitisha serikali isifumue mikataba ya madini,kumbe anatumikia tumbo,ndo maana anakula goodtime kwa waliomtuma.