Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

CAG Asad arudishwe

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Bwashee umekuwa Sigara kali
Huyo MATAGA hana pa kujishikiza! Ni mnafki mkubwa aliyekua anatetea upumbavu wa kusema maendeleo haya chama..

Huku toa kauli akiwaambia hatowapelekea watu maji kama wasipoichagua CCM


Sasa hivi anaenda na upepo wa fursa kwenye utawala mpya
 

Mkuu haya ndiyo maendeleo yasiyokuwa na chama ambayo hatimaye leo kibwagizo hicho umelazimika kuzisahau.

Mataga na ndugu zao wa chama fulani watakuwa wamenuna kweri kweri!
 
Sasa hapa unapinga au unakubali?

Maana tukisema tumuunge mkono mama yetu kwa nia yake ya kutaka kuwapa kazi wapinzani unakuja na vijimaneno vya hovyo
Safari lazima mhame nchi
 
Akikuteua lazima utekereze ilani ya chama,sioni jipya hapo hata akina Anna Ngwila, Magufuri aliwapa vyeo kutoka upinzani lakini wakatekereza ilani ya ccm.upinzani wa Tanzania tatizo sio ccm bali alikuwa Magufuri๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜Samia kaja kuumaliza upinzani kabisa,maana atachukuliwa mwenye ndomo anapewa kipande cha myama๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜
 
Bado matakwa yetu Watanzania ya kutaka Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi yako pale pale. Hii danganya toto haisitishi matakwa hayo. Zitto ameula Mkuu wa Mkoa wa Kigoma. ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
Ni ajabu sana kuona watu wanvyoweza kuchotwa akili kirahisi rahisi.

Hapa ndipo unapoweza kuwatambua mamluki waliojazana huko kwenye vyama, na wafia vyama wenyewe.

Heko mkuu BAK.
 
Nenda kwenye kaburi la Jiwe then jipige kifuani ukilia ukisema"Kayafa ulitulisha ujinga na upumbavu"
Nadhani umesahau huyo Jiwe ndo aliwateuwa wapinzani. Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro, aliteuliwa kutoka ACT Wazalendo bila kuhama chama. Na alimuahidi Tundu Lissu pia kumpa madaraka. So kikubwa mama yetu anaendeleza.
 
Wewe hapa tupo tz! Na hao sukuma gang tunasubiri waje wawapelekee bavicha moto hiyo 2025 kwenye uchaguzi mkuu ndio warudi kwao.

Kikubwa kwa sasa kina lema wajiandae kula teuzi
Mtaumia sana kisaikolojia kudadadeeeeekiiii
 
Ukisikia maendeleo hayana chama, hii ndo maana yake. Haiwezekani eti mtu hadi awe mwana ccm ndo afikiriwe kupata fursa huko serikalini.
 
Tujenge umoja wa kitaifa[emoji1666][emoji1666][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ