kikokotoo kipya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 441
- 488
Yeye ndo alichangia katiba mpya isiwepo kipindi akiwa mwenyekiti msaidizi.Itakuwa jambo la maana sana ikiwa itapatikana kabla ya 2025 na itokane na rasimu ya Tume ya Warioba. Kinyume cha hapo ni usanii tu.
View attachment 1776564
Kwaheri Magufuli Shujaa wa Mazezeta
Kwani Mwenda zake sindio kaanza kuwapa upinzani shavu mapema sana.Mataga. Hili unapinga au unasapoti?
Hahaha...Misukule ya jiwe mmevurugika. Katika hili hujui upinge au usapoti.
Karipoti Pamba Police Post mapema kabla hatujakufata...Huyu ndio raisi
Labda unikute pale sizla nakula mishikaki ya utumbo sio central aiseeKaripoti Pamba Police Post mapema kabla hatujakufata...
Siwezi kumheshimi Mtu asiyeheshimu KatibaJiheshimu. Haikupungukii kitu kujiheshimu
Acha roho mbaya mkuu.Haahaa mama oyee, Zitto, Lissu na Mbowe wajiandae kupewa vyeo. Akiwapa kina halima sitamwelewa
Wakipewa uongozi wakiwa "nje" ya CCM usiache kunizomea kila niingiapo JF.Haahaa mama oyee, Zitto, Lissu na Mbowe wajiandae kupewa vyeo. Akiwapa kina halima sitamwelewa
Yeye ndo alichangia katiba mpya isiwepo kipindi akiwa mwenyekiti msaidizi.
Tumshangilie tu.
Napingaje sasa?Mataga. Hili unapinga au unasapoti?
Hahaha...Misukule ya jiwe mmevurugika. Katika hili hujui upinge au usapoti.
Wewe ni mchonganishi.Kwahiyo mamawia, babati na wengineo wanaodemka hapa ni mamluki?
πππ aliahidiwa kazi ndogondogo, alivyo mbishi atataka kuwa waziri wa mambo ya nje ama waziri wa katiba.Lissu sasa arudi aje apewe kakazi kama akivyoahidiwa na hayati
[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja tuone mama atampa nafasi gani[emoji16][emoji16][emoji16] aliahidiwa kazi ndogondogo, alivyo mbishi atataka kuwa waziri wa mambo ya nje ama waziri wa katiba.
Eti kumsifia Mama Wenye jiji wananunaLabda unikute pale sizla nakula mishikaki ya utumbo sio central aisee
Sasa wakikubali vyeo toka CCM, watapata wapimamlaka ya kinase ili ya kukosoa?Napingaje sasa?
Sisi ccm tunaridhia wapinzani wapewe vyeo waache kulia lia
Kwahiyo hapa unapinga au?Wahutu rudini kwenu rwanda maana hakuna wa kuwafadhili
Subiri tuone mkuu tunawangoja!Sasa wakikubali vyeo toka CCM, watapata wapimamlaka ya kinase ili ya kukosoa?
Mkuu, usifanye mchezo na maslahi ya watu. Tumbo likidai, na huku Mwenyekiti shaonekana hana 'interest' na wao, ni lazima utasikia tu manung'uniko; na hasa pakiwa inafahamika kwamba mwenyekiti mwenyewe hawezi kutumia mabavu kama alivyokuwa aliyepita; hapatakuwa na woga tena, sauti zitasikika tu, hata kwa visingizio vya mambo mengine yatakayokuwa yakiibuka serikalini na huko kwenye vyama.Mama ndio mwenyekiti wa CCM na wamempitisha kwa 100% .kauli ya mwenyekiti ina nguvu
Hahahaaaa..... Si umeona ACT wazalendo walivyotulizwa Zanzibar!Subiri tuone mkuu tunawangoja!
Naona kina mmawia wanademka kweli hapa!