ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Hata Magu amefanya hivyo sana tu Kitila and CoMbona hakuna jipya katika hilo, ni tangu Jeikei anafanya hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Magu amefanya hivyo sana tu Kitila and CoMbona hakuna jipya katika hilo, ni tangu Jeikei anafanya hivyo
Sawa. Sasa hebu jibu hilo swali langu hapo.Nioneshe posti yangu moja tu niliyompinga mama!
Ukiiona nishtaki kwa mods wanipige ban ya maisha!
Mimi siyo roboti kama nyie kwamba mwamba akisema tugeukie huku mnageuka.
Ndio maana yake.Kwaiyo atuliwe tu kwenye serikali ya waongo wenzie?
Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.
Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania

Kitu gani cha kuchekesha hapo eenh mataga?Unachekesha.
Wakishateuliwa wanacheleweshaje tena wakati lazima wafuate amri ya mteua?Sawa. Sasa hebu jibu hilo swali langu hapo.
Wapinzani wanachelewesha maendeleo au hawacheleweshi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Weka ushahidi acha blaa blaaTaasisi itapata kibali cha kuweka huo ushahidi wazi. Lakini bila hata hiyo taasisi, habari ndio hiyo, hutaki baki ukinyeshea maua hapo kwenye kaburi la dhalimu.
Kimba linagonga kyupi...m naloMataga ntaambia nini watu mimi
Unazunguka sana, kutoka mambo ya maandamano ukaja mambo ya marking scheme sasa hii upo unafundisha maana ya social media.Sikia ww, swali specific unamfuata mtu inbox, ukimuuliza hapa ni la wote na yoyote. Hakuna mtu anajibu kwa utaratibu wako uutakao, maana humu ni kwenye social media. Huku ni kama uwanja wa wrestling, unapigwa ngumi, mateke, na viti, hata walioko nje ya ulingo usishangae wapo ulingoni. Kama hujui hilo basi hiyo ndio social media.
Kweli wewe ni kiazi.Wakishateuliwa wanacheleweshaje tena wakati lazima wafuate amri ya mteua?
Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.
Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania
Wewe ni mjinga km hayati?Lissu sasa arudi aje apewe kakazi kama akivyoahidiwa na hayati
Magu did so ignorantly.Hata Magu amefanya hivyo sana tu Kitila and Co
Hao wote uliowataja sio wapinzani ni takataka za ccm zilizokuwa ndani ya upinzani
Kwa hiyo ccm yote wamejaa waongo!?..Nayeye alidanganywa,hata makamo wake ambae ni Rais wa sasa pia alisema Rais ni mzima na anachapa kazi.
Sijambo mhenga mwenzangu; nilidhani umehudhuria kikao... natumaini na nyie wazima.Mzee mwenzangu hujambo?