Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Wapo ila wengi hawajishughulishi kabisa na mambo ya kisiasa.....zaidi ya wahindi, waarabu, na wazungu, kuna wakina nani wengine?
..nadhani hata wazungu "wazawa" hawapo tena Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo ila wengi hawajishughulishi kabisa na mambo ya kisiasa.....zaidi ya wahindi, waarabu, na wazungu, kuna wakina nani wengine?
..nadhani hata wazungu "wazawa" hawapo tena Tanzania.
Akili ya wananchi wa Tanzania ni mali ya Tanzania yule akili nyingi muhimu atumie uwezo wake kwa taifa letuLissu sasa arudi aje apewe kakazi kama akivyoahidiwa na hayati
Utekelezaji wa ilani huwa siyo shida, bali ni upande wa upanzani kutokukubali hilo na kuwaita wenzao walioteuliwa kuwa ni "wasaliti."Kama ilani inatekekezwa kwa interest za nchi na wananchi wake nadhani hapo hakuna shida.
Haahaa mama oyee, Zitto, Lissu na Mbowe wajiandae kupewa vyeo. Akiwapa kina halima sitamwelewa
Kasema hatajali chama, kwani halima Ana tofauti gani na Mbowe na Lissu?Haahaa mama oyee, Zitto, Lissu na Mbowe wajiandae kupewa vyeo. Akiwapa kina halima sitamwelewa
Kwani huko chadema ambaye Hana kazi ni Lissu tu mbona mnapagawa eti Lissu ndo wakupewa kazi tuu?Lisu ajiandae kurudi sasa aje awe mkuu wa wilaya
Nyumbu Sasa kila Jambo toka CCM wanarukaruka kushangilia Sasa saccos yenu kwisha kabisa.Kudadadeeeeeeki mataga mmekwisha
Mbona sabaya afai kuwa kiongozi Lakini mwandazake alimteuwa tukatulia tu utabidi utulie tu ikikuuma sana nenda kalilie kaburiniMimi sikubaliani labda kwa taaluma za
Hilo ni sawa kwa kazi za taaluma ya science. Lakini kwenye siasa uchumi na sheria lazima kuteua waomini wa sera ya chama chake ama wateule watahujumu utekelezaji wa ilani ya uchaguzi. Ccm kama chama chenye sera ya ujamaa kinajali maslahi ya umma. Mtu kama lissu au wa aina yake kwa vyovyote hafai nafasi ya uongozi kwenye serikali ya ccm.
Basi Kama Ni hivyo wapinzani wa nchi hii Wana shida.Utekelezaji wa ilani huwa siyo shida, bali ni upande wa upanzani kutokukubali hilo na kuwaita wenzao walioteuliwa kuwa ni "wasaliti."
Your reasoning is nothing but stupidMagu did so ignorantly.
That man was so stupid that I can not forget.
Ndio hawa inabidi tuwaone visibility yao kwenye kujenga taifa kupitia uongozi katika ngazi mbalimbali kama walivyowahi kutumika katika awamu ya kwanza.Wapo ila wengi hawajishughulishi kabisa na mambo ya kisiasa...
Ar-Rahmaan. Ni sura inayotukuza nguvu za MwenyeziMungu akibainisha mambo yaliyo beyond na upeo wa kawaida yanayoonyesha utukufu wake.DAWA ya Corona imepatikana .
Ni Sura ndani ya qurani.sura ya 55View attachment 1776976
Ndio maana umeambiwa ujiandae kisaikolojiaHaahaa mama oyee, Zitto, Lissu na Mbowe wajiandae kupewa vyeo. Akiwapa kina halima sitamwelewa
Ar-Rahmaan. Ni sura inayotukuza nguvu za MwenyeziMungu akibainisha mambo yaliyo beyond na upeo wa kawaida yanayoonyesha utukufu wake.
Huuu ndiyo wakati wenu wa kurudi kwenu burundi maana hakuna atakaye wafadhili tena.Nyumbu Sasa kila Jambo toka CCM wanarukaruka kushangilia Sasa saccos yenu kwisha kabisa.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Nakuunga mkonoMbona sabaya afai kuwa kiongozi Lakini mwandazake alimteuwa tukatulia tu utabidi utulie tu ikikuuma sana nenda kalilie kaburini
Tulieni dawa iwaingie maungoniBasi Kama Ni hivyo wapinzani wa nchi hii Wana shida.