Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Ndio maana umeambiwa ujiandae kisaikolojia
Mama ana akili sana,amegundua kelele za upinzani ni njaa tu,akiwapa nafasi 2025 itakua kitonga tu
Unaongea huku machozi yanakutoka maaana kwa roho mbaya zenu za kayafa hamkutaka maelewano na upinzani.

Leo mama Samia kaamua kuliunganisha taifa mnaanza kumuwangia .
Kama hutaki uongozi wa mama Samia hama nchi urudi kwenu rwanda.
 
Awapangie waliopo, au hawa waliopo ameshawamaliza wamebaki hao walioko nje?
Mama Mgwira na Dr slaa walipewa nafasi wakiwa upinzani wakati ule mbona wametumikia vizuri tu taifa kwa nafasi zao na wanauwezo mzuri tu wa uongozi. Wengine wamepewa nafasi baada ya kuuunga mkono lakini yote ni kwamba upinzani nako wako wazuri. Mama go on tujenge taifa bora kwa weledi kwa manufaa mapana.
 
Uwaziri wa sheria utamfaa zaidi na wafungwa wengi sana nchini wataachiwa huru kwani nyingi ni kesi fake au ni kesi ndogo ndogo ambazo faini au kifungo cha nje zitafaa ili kupunguza msongamano wa kutisha kule lupango.
Ni mwehu tu anaweza mpa TL cheo.
 
Angalao sasa hata Paschali Mayala atafanikisha ile Ndoto yake ya Teuzi siku zimekuwa nyingi Bhagoosha!
Paschal alipoona hakumbukwi kupitia threads zake, akaamua kujianika wazi kuwa yenye ni wa kukaya na kuchukua usajili ndani ya chama twawala, haitoshi akaja kututangazia hapa JF, na kisha kutangaza nia. Hii ilikuwa na maana kuwa akumbukwe kwenye teuzi fulani fulani.

Sasa mama kashasema atazingatia weledi bila kujali chama, hivyo Pascal Mayalla come back to your senses uwe objective tena. Huna haja ya kujipendekeza, teuzi kwa sasa zinaangalia weledi zaidi; onesha hou weledi uliokuwa nao hapo zamani na uteuzi utakuwa nawe, amina.
 
Lakini pia akumbuke kuna "wajumbe" wa CCM, akiwazingua sasa hivi nao pia watamzingua 2025!
Yeye mwache ajifanye kuteua hao "upinzani" sisi Waswahili tunasema, "usimdharau Mamba kabla hujavuka mto".
 
Kweli acheni Mungu aitwe Mungu.
Ukanda na ukabila umeisha!
Ubabe na unyanyasaji umeisha.
Sifa na utukufu kwake Mola wetu.
 
Back
Top Bottom