Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Nioneshe posti yangu moja tu niliyompinga mama!

Ukiiona nishtaki kwa mods wanipige ban ya maisha!

Mimi siyo roboti kama nyie kwamba mwamba akisema tugeukie huku mnageuka.
Sawa. Sasa hebu jibu hilo swali langu hapo.

Wapinzani wanachelewesha maendeleo au hawacheleweshi?
 
Huyu tunamuongezea mikumi tena, yule mlitaka kumuongezea pia
 


Huyu mama ni KICHWA kweli kweli, utadhani aliingia na kusoma mawazo yangu, hongera sana Mama yetu Samia Suluhu Hassan. (SSH).✔✔✔✔💯%
 
Mimi sikubaliani labda kwa taaluma za
Hilo ni sawa kwa kazi za taaluma ya science. Lakini kwenye siasa uchumi na sheria lazima kuteua waomini wa sera ya chama chake ama wateule watahujumu utekelezaji wa ilani ya uchaguzi. Ccm kama chama chenye sera ya ujamaa kinajali maslahi ya umma. Mtu kama lissu au wa aina yake kwa vyovyote hafai nafasi ya uongozi kwenye serikali ya ccm.
 
Sawa. Sasa hebu jibu hilo swali langu hapo.

Wapinzani wanachelewesha maendeleo au hawacheleweshi?
Wakishateuliwa wanacheleweshaje tena wakati lazima wafuate amri ya mteua?
 
Taasisi itapata kibali cha kuweka huo ushahidi wazi. Lakini bila hata hiyo taasisi, habari ndio hiyo, hutaki baki ukinyeshea maua hapo kwenye kaburi la dhalimu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Weka ushahidi acha blaa blaa
 
Kuteua kutoka pande zote kutaondoa radha ya upinzani Tz[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unazunguka sana, kutoka mambo ya maandamano ukaja mambo ya marking scheme sasa hii upo unafundisha maana ya social media.
 
Wakishateuliwa wanacheleweshaje tena wakati lazima wafuate amri ya mteua?
Kweli wewe ni kiazi.
Kwani wakiteuliwa si bado wanakuwa wapinzani? Sasa unachosema ni kuwa sasa wapinzani hawacheleweshi tena maendeleo.

Kwa hiyo wapinzani wakiteuliwa hawacheleweshi maendeleo, ila wasipoteuliwa ndio wanachelewesha maendeleo.

Kweli mataga mmeshikwa pabaya this time.
 
Kwa kutumia akili zetu za fomu 4,analenga watu hawa
Zitto Kabwe,
Lissu,
Lipumba,
Mbowe?
 
Ningeshauri aunde hati ya makubaliano ya serikali ya umoja wa kitaifa.Siyo kuteuateua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…