Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Safi kabisa kama akina Mghwira, Silinde ,Katambi, Kitila Mkumbo etc.

NB. Mama usimwingize kabisa mzee wa miga mtetea ushoga Lisu
 
Sioni jipya hapa.

JPM aliwateua akina Kitila Mkumbo, David Kafulila,Wilbroad Slaa, Julius Mtatiro na Anna Mghwila wakiwa upinzani !
Si kweli. Waliunga juhudi kwanza, wenyewe kama wapo humu wanakuchora tu unavyowasingizia
 
Mama anawatumia Critics wa Mitandao wenye mawazo chanya na itafika wakati (kama akienda vizuri) watu wenyevmawazo negative watapungua sana atabaki Cyprian Musiba aka Vero france ambae nae atapuuzwa tu.
 
Sioni jipya hapa.

JPM aliwateua akina Kitila Mkumbo, David Kafulila,Wilbroad Slaa, Julius Mtatiro na Anna Mghwila wakiwa upinzani !

..awateue na waendelee kuwa wapinzani.

..na uteuzi wao utakapokwisha warejee kwenye vyama vyao.
 
Tema mate chini ,hatutaki mwanasheria mkuu shoga
 
Mama mteue Lema kuwa Spika wa Bunge,Ndugai amelegea sana mpaka Mimi CCM naona aibu kwa kweli.
 
Ninavyoona tunaelekea kwenye Serikali ya Mseto
 
Itakuwa jambo la maana sana ikiwa itapatikana kabla ya 2025 na itokane na rasimu ya Tume ya Warioba. Kinyume cha hapo ni usanii tu.
Mkuu ameonyesha mwanzo mzuri ila naona ana mambo mengi na muda unabana lkn naamini katiba ipo njiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…