Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Bado matakwa yetu Watanzania ya kutaka Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi yako pale pale. Hii danganya toto haisitishi matakwa hayo. Zitto ameula Mkuu wa Mkoa wa Kigoma. [emoji12][emoji12]
Unataka ndani ya mwezi mmoja abadilishe kila kitu? Wewe ungeweza? Mbona watu wa siku hizi mnakosa subira sana?
 
Itakuwa jambo la maana sana ikiwa itapatikana kabla ya 2025 na itokane na rasimu ya Tume ya Warioba. Kinyume cha hapo ni usanii tu.
Malalamiko ya Katiba iliyopo kuvunjwa yalikuwa mengi na hakuna kijana aliyetoka kuitetea hadharani, ikija Katiba mpya ikivunjwa mtaweza kuilinda na kuitetea hadharani?
Maana Tz tuna vijana wapenda visingizio na mashujaa wa mitandaoni.
 
Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.

Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.

Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania

Kwa hilo tutakuwa tumepata mtu.... Maana CCM walidhatufikisha pabaya. Yaani hata Ukurugenzi lazima apewe Kada.
 
Hao wapinzani watakaopewa hivyo vyeo wawe makini serikali ikivurunda wataambiwa na wao walikuwa sehemu ya serikali, hii issue sio ya kuchekelea.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapana asee huyo jamaa ni msaliti mkubwa ila nimeona tangu mama aingie amekuwa akijikomba komba kwa nama yetu.
Zzk ni mchunguliaji wa fursa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hebu acha ujinga wewe! Wapi nilipoandika kuhusu kila kitu kibadilishwe kwa mwezi mmoja? 😳😳😳Soma kwa kituo badala ya KUKURUPUKA!
Unataka ndani ya mwezi mmoja abadilishe kila kitu? Wewe ungeweza? Mbona watu wa siku hizi mnakosa subira sana?
 
..awateue na waendelee kuwa wapinzani.

..na uteuzi wao utakapokwisha warejee kwenye vyama vyao.
Sorry computer yangu sasa hivi ina matatizo fulani hivi, inakwenda slow sana minapotumia Mozilla. Umeandika wakati nikiwa bado naedit post ile, ila nilichotaka kusema ni kuwa viongozi wa upinzani wakubali kuwa wanapoteuliwa serikalini basi wajue wanakwenda kutekeleza ahadi ambazo walioko madarakani waliaambia wananchi wakati wa uchaguzi. Ukiwa upinzani na ukateuliwa haina maana kuwa unakuja kutekeleza sera za upinzani. Kwa bahati mbaya upinzani wetu una kitu kinaitwa "msaliti". Mtu akishateuliwa kuingia serikalini anaonekana kama ni msaliti wa upinzani, jambo linalowafanya wateule waamua kuhama vyama.
 
Naunga mkono hoja.Lissu Ni mwanasheria nguli, pia lissu ni mzalendo namba moja wa taifa letu.Huyu hatampotosha rais avunje katiba..
Uzalendo wa kuwatetea Acacia ili waendelee kutuibia madini?, Uzalendo wa kutumiwa na mabeberu?
 
Mbinu mpya,hapa sasa ndo tutawaona wanaojidai wagumu ni wagumu kweli au nguvu ya soda?
 
Mnakwenda kufa njaa sasa. Yale maisha ya kuishi kwa kulamba vidonda kama nzi yanaisha. Watu watachaguliwa kwa merit na siyo kwa unafiki na uwezo wa kutukana au kufunga wapinzani.
Mkuu! Siyo kila mtu anategemea siasa ili aishi kama kina Lisu na Lema!

Kikubwa wambie warudi ccm tuwape kazi
 
Back
Top Bottom