mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Mataga mjiandae kisaikolojia....NA VILE MNATEGEMEA MAKALIO KUFIKIRI,NA ULIMI KUSIFU NA KUABUDU, MSITEGEMEE TEUZI KABISA..HAPA NI UWEZO TUUU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnakwenda kufa njaa sasa. Yale maisha ya kuishi kwa kulamba vidonda kama nzi yanaisha. Watu watachaguliwa kwa merit na siyo kwa unafiki na uwezo wa kutukana au kufunga wapinzani.Lisu sasa arudi aje apewe kakazi kama akivyoahidiwa na hayati
...sisi Ni watanzania, atatufaa.Huyu wa Sasa anawapotosha viongozi wetu Sana wavunje katibaMIGA walimtosa wakamuona kanjanja
Mwambie lisu aachane na amsterdam arudi huku rais ampe kazi ya kufanya.Mataga kwiiiishaaaaaaaaaaaaa niliwaambia kupitia jukwaaaa hili hili kuwa habari za jiwe sasa ndiyo basi tena.
Hiyo ni muhimu kama kupiga mswaki asubuhiJambo zuri
Lakini asidhani kuwa hii itapoza hitajio letu la kutaka katiba mpya!
Najua Wanasiasa wanaotaka katiba mpya wakipewa vyeo watanyuti, lakini sisi wananchi tunataka KATIBA MPYA
Angalao sasa hata Paschali Mayala atafanikisha ile Ndoto yake ya Teuzi siku zimekuwa nyingi Bhagoosha!
Umeharibu uzi wako hapo uliposema akuteue wewe uwe CAGMama nakuona kweli umedhamiria kuliunganisha taifa na kuleta maendeleo ya kweli. Nimesikiliza hotuba yako kwa wazee wa Dar es salaam nimeipenda mno, nakushauri kama itakupendeza muite Tundu Lissu na umteue awe mwanasheria mkuu wa serikali. Pia mimi niteue niwe CAG.
Lissu si wakufanya kazi ndogondogoMwambie lisu aachane na amsterdam arudi huku rais ampe kazi ya kufanya.
Hata lema pia mwambie habari ya kuishi ugenini haifai
Hili ndilo la msingi kuliko mengine. Akitimiza ahadi yake kweli basi tutegemee mabadiliko makubwa kwenye siasa za nchi yetu. Atakuwa amekaribisha ushindani na siyo unafiki.Mataga mjiandae kisaikolojia....NA VILE MNATEGEMEA MAKALIO KUFIKIRI,NA ULIMI KUSIFU NA KUABUDU, MSITEGEMEE TEUZI KABISA..HAPA NI UWEZO TUUU
Leo unaweza kusikia Sabaya na Chalamila wamejitia kitanzi kwa hasiraHaya ndo yanayotakiwa kwa hali tuliyofikia kwa sasa, aisee majeraha ni mengi ni bora yakatibiwa
Kwa kipi sasa? Mwambie Lisu arudi tumpangie kazi!Naona leo unaweza kujinyonga
Unafaa wewe,Kipindi kile cha Katiba Binge zima lilikaa kimya kimsikiliza Lissu mpaka usiku halafu wewe useme hafai?Ampe kichaa uanasheria ,lisu hafai kuwa kiongozi wa umma
Unataka ampe cheo Mh Mbowe ili CHADEMA ife sio ?!Haahaa mama oyee, zitto, lissu na mbowe wajiandae kupewa vyeo.Akiwapa kina halima sitamwelewa
Na walionunuliwa wakategemea teuzi kwa kuoendelewa na jiwe ndio basi tena!Wahamiaji wa kununuliwa hakuna tena maana akiwahitaji atawatafuta maenyewe.
Angekuwa jiwe tayari watu wangesha lizwaNilicheka sana aliposema jana au juzi, “Mnanitukana sana mitandaoni” halafu hakutoa vitisho vya kuwakamata watu. Akitulia huyu anaweza akafanya mambo makubwa sana kwa nchi yetu na akawa ni kioo cha uongozi si kwa Tanzania na Afrika tu bali dunia nzima.
Mkuu ameonyesha mwanzo mzuri ila naona ana mambo mengi na muda unabana lkn naamini katiba ipo njiani