LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
...hayo maoni yako.lissu Ni mzalendo wa kweli.Pia msema kweliUzalendo wa kuwatetea Acacia ili waendelee kutuibia madini?, Uzalendo wa kutumiwa na mabeberu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...hayo maoni yako.lissu Ni mzalendo wa kweli.Pia msema kweliUzalendo wa kuwatetea Acacia ili waendelee kutuibia madini?, Uzalendo wa kutumiwa na mabeberu?
Usikariri mkuu. Sasa bila kumsensitize atajuaje?Kadri unavyompigia mtu chapuo (debe) ndivyo unavyompunguzia nafasi ya kupewa uteuzi.
Leo najitolea kukuwekea sungusungu akulinde ili usinywe sumu maana uamuzi wa rais utakuwa umekuumiza vibaya.Mwambie lisu aachane na amsterdam arudi huku rais ampe kazi ya kufanya.
Hata lema pia mwambie habari ya kuishi ugenini haifai
Una uhakika?Uzalendo wa kuwatetea Acacia ili waendelee kutuibia madini?, Uzalendo wa kutumiwa na mabeberu?
Malalamiko ya Katiba iliyopo kuvunjwa yalikuwa mengi na hakuna kijana aliyetoka kuitetea hadharani, ikija Katiba mpya ikivunjwa mtaweza kuilinda na kuitetea hadharani?
Maana Tz tuna vijana wapenda visingizio na mashujaa wa mitandaoni.
Kina Mdee na wenzake wategemee shavu zaidiWahamiaji wa kununuliwa hakuna tena maana akiwahitaji atawatafuta maenyewe.
Mkuu kikubwa tujenge nchiTulizeni mshono si juzi tu hapa mlikuwa mnasema auwawe.
Basi peleka CV yako mkuu... Cha muhimuHapana mkuu sijaharibu. Mimi pia ni mtanzania na uwezo na taaluma ninayo. Wewe pia kama uwezo unao haina shida. Hii nchi ni yetu sote.
Hayati angemuua.Lisu sasa arudi aje apewe kakazi kama akivyoahidiwa na hayati
Mayalla hafai ana vi element vya yule kayafa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mimi nipo tayari kumpigia debe Pascal Mayalla kwa mama ili ampe ULAJI.
Dhalimu kafariki sasa yupo asie dhalimu na kaahidi kuwapa kazi wapinzani ni wakati wake sasa arudi apangiwe kaziAlisema hataki kazi za kupewa na mtu dhalimu, na alisema kabisa awape wale wasio na uwezo lakini wanaomsujudia.
Mkuu! Siyo kila mtu anategemea siasa ili aishi kama kina Lisu na Lema!
Kikubwa wambie warudi ccm tuwape kazi
Taifa litazizima kwa shangwe na siku hiyo ndiyo utakuwa ni msiba kwa matagaNasubiri ule Mkutano wa Mama na Chadema tuirudishe Nchi kwenye Mstari
View attachment 1776578
Unahofia cctv footage za maovu kuanikwa mahakamani?Ampe kichaa uanasheria ,lisu hafai kuwa kiongozi wa umma
Mayalla hafai ana vi element vya yule kayafa
@Konda msafi (Khumbu) Binafsi naunga mkono wazo lako ila ingefaa kwanza KATIBA Mpya ihusike. .Mama nakuona kweli umedhamiria kuliunganisha taifa na kuleta maendeleo ya kweli. Nimesikiliza hotuba yako kwa wazee wa Dar es salaam nimeipenda mno, nakushauri kama itakupendeza muite Tundu Lissu na umteue awe mwanasheria mkuu wa serikali. Pia mimi niteue niwe CAG.
Dhalimu kafariki sasa yupo asie dhalimu na kaahidi kuwapa kazi wapinzani ni wakati wake sasa arudi apangiwe kazi
Wewe ndiyo ulikuwa unashangila unaguzi wa baba yako .Kwa kipi sasa? Mwambie Lisu arudi tumpangie kazi!
Wenye nchi tumesema
Sawa sawa sisi sote ni Watanzania tunaitakia mema Nchi yetuMkuu kikubwa tujenge nchi
Konda msafi bado ana ujana mwingi.... Wakati mwingine kichwa chake cha juu kinamwamulia baadhi ya mamboKwani Mkuu una CV ya mtoa mada had I useme ameharibu kujitaja jina? Huwezi jua labda maisha kuwa Msaidizi wa Assad na Kichere.