Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Mwambie lisu aachane na amsterdam arudi huku rais ampe kazi ya kufanya.

Hata lema pia mwambie habari ya kuishi ugenini haifai
Leo najitolea kukuwekea sungusungu akulinde ili usinywe sumu maana uamuzi wa rais utakuwa umekuumiza vibaya.

Mlizoea kuwabagua watu kwa itikadi zao na kama siyo mwana ccm au mramba miguu mnamuona kama mnyama.
 
Malalamiko ya Katiba iliyopo kuvunjwa yalikuwa mengi na hakuna kijana aliyetoka kuitetea hadharani, ikija Katiba mpya ikivunjwa mtaweza kuilinda na kuitetea hadharani?
Maana Tz tuna vijana wapenda visingizio na mashujaa wa mitandaoni.

Ww ndio wale mlipokuwa mnasikia maandamano ya watu kudai haki zao mlikuwa mnasema watu wanataka kuvunja amani.
 
Alisema hataki kazi za kupewa na mtu dhalimu, na alisema kabisa awape wale wasio na uwezo lakini wanaomsujudia.
Dhalimu kafariki sasa yupo asie dhalimu na kaahidi kuwapa kazi wapinzani ni wakati wake sasa arudi apangiwe kazi
 
Mkuu! Siyo kila mtu anategemea siasa ili aishi kama kina Lisu na Lema!

Kikubwa wambie warudi ccm tuwape kazi

Kama ccm mlikuwa na kazi ya kumpa, kipi kilimfanya jiwe aagize ashambuliwe kutaka kumuua?
 
Mama nakuona kweli umedhamiria kuliunganisha taifa na kuleta maendeleo ya kweli. Nimesikiliza hotuba yako kwa wazee wa Dar es salaam nimeipenda mno, nakushauri kama itakupendeza muite Tundu Lissu na umteue awe mwanasheria mkuu wa serikali. Pia mimi niteue niwe CAG.
@Konda msafi (Khumbu) Binafsi naunga mkono wazo lako ila ingefaa kwanza KATIBA Mpya ihusike. .
 
Dhalimu kafariki sasa yupo asie dhalimu na kaahidi kuwapa kazi wapinzani ni wakati wake sasa arudi apangiwe kazi

Awapangie waliopo, au hawa waliopo ameshawamaliza wamebaki hao walioko nje?
 
Mkuu kikubwa tujenge nchi
Sawa sawa sisi sote ni Watanzania tunaitakia mema Nchi yetu
giphy (2).gif
 
Kwani Mkuu una CV ya mtoa mada had I useme ameharibu kujitaja jina? Huwezi jua labda maisha kuwa Msaidizi wa Assad na Kichere.
Konda msafi bado ana ujana mwingi.... Wakati mwingine kichwa chake cha juu kinamwamulia baadhi ya mambo
 
Back
Top Bottom