Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Serikali ya mseto inanukia huko mbeleni kwa katiba kubadilishwa ili kuruhusu baadhi ya mambo kama kuunda serikali ya mseto na mengineyo.
 
Sijui wanachishangilia Hawa bavicha ni nini, maana hata magu aliwateua kitila mkumbo, Anna mghwira
Leo mkanywe sumu mjiue tu maana mataga hapa Tanzania hamna nafasi tena.

Tabia zenu za kupenda ubaguzi sasa kwisha .
 
Itakuwa jambo la maana sana ikiwa itapatikana kabla ya 2025 na itokane na rasimu ya Tume ya Warioba. Kinyume cha hapo ni usanii tu.
Shida ni MATAGA wanahangaika sana sa a
 
Reactions: BAK
Ww ndio wale mlipokuwa mnasikia maandamano ya watu kudai haki zao mlikuwa mnasema watu wanataka kuvunja amani.
Pamoja na kuvamia hoja, bado hujajibu swali ambalo hukuulizwa wewe.
Swali ni upo tayari kuitetea katiba mpya endapo itavunjwa?
 
Naunga mkono hoja.Lissu Ni mwanasheria nguli, pia lissu ni mzalendo namba moja wa taifa letu.Huyu hatampotosha rais avunje katiba..
Mzalendo aliyekuwa anaitisha serikali isifumue mikataba ya madini,kumbe anatumikia tumbo,ndo maana anakula goodtime kwa waliomtuma.
 
@Konda msafi (Khumbu) Binafsi naunga mkono wazo lako ila ingefaa kwanza KATIBA Mpya ihusike. .
Mkuu, kwa akili ya mama kila kitu kinawezekana. Mama inaonekana anataka kutuvusha kwa vitendo.
 
Safi kabisa kama akina Mghwira, Silinde ,Katambi, Kitila Mkumbo etc.

NB. Mama usimwingize kabisa mzee wa miga mtetea ushoga Lisu
 
Lissu apewe Uwaziri mkuu ili Mataga wajinyonge

 

Lissu ateuliwe ili aje kuwarudishia ACACIA makanikia yao au? Na pia ili aje kurudisha ile sheria ya zamani ya madini ili taifa lisinufaike na madini yake? Labda kama kuna Lissu mwingine sio yule mwenye ajira Ubeljiji
 
Ni kweli muda ni mdogo lakini kipaumbele ni Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi na kuwaondoa hao Covid-19 Bungeni asimuogope huyo mwendawazimu Ndugai.
Kinaweza kuwa ni kipaumbele chako mkuu, kwa sababu zako mbalimbali, kubadili katiba ya nchi siyo jambo la kukurupuka na kulifanya sababu ya kuridhisha kundi fulani la watu, Katiba ya nchi ndiyo usalama wa nchi. Inahitaji utulivu na planning, it is not kama chama fulani waliposema wataleta katiba ndani ya siku 100, ilikuwa porojo za kisiasa, huwezi kuleta katiba mpya kwa siku 100.
 

..niko 50/50 na hoja yako.

..nadhani wako wengine huhama vyama kabla ya kuitwa " wasaliti. "

..pia ni kweli kwamba wanatekeleza ahadi za aliyekuteua, lakini ahadi nyingi za uchaguzi huwa zinafanana.

..kuna umuhimu wa kufanyia kazi mitizamo hasi kuhusu vyama vya siasa. nadhani tuna watendaji wengi serikalini, pia tuna wanasiasa wengi, wasioelewa namna bora ya kutekeleza majukumu yao ktk demokrasia ya vyama vingi.
 

Safi sana ,asimuache Zitto.
 
Serikali ya mseto inanukia huko mbeleni kwa katiba kubadilishwa ili kuruhusu baadhi ya mambo kama kuunda serikali ya mseto na mengineyo.
Serikali ya mseto au uteuzi kwa wapinzani Kama ilivyokuwa kwa Anna mghwira na kitila mkumbo?
Pia mlitaman bunge livunjwe vipi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…